您搜索了: journal (法语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

法语

斯瓦希里语

信息

法语

journal

斯瓦希里语

gazeti

最后更新: 2015-06-06
使用频率: 4
质量:

参考: Wikipedia

法语

informations sur le journal a verdade .

斯瓦希里语

taarifa zaidi zinapatikana kwenye gazeti la a verdade .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

@barakravid - correspondant diplomatique du journal haaretz

斯瓦希里语

@barakravid - mwandishi wa kidiplomasia, gazeti la haaretz

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

brésil : appel au boycott du plus grand journal du pays

斯瓦希里语

brazil: wito wa kugomea gazeti linaloongoza nchini

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

ray hartley, sur le blog du journal the times, ajoute :

斯瓦希里语

ray hartley, anayeandika katika the times, afrika ya kusini, anablogu akiongeza:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

il explique à célia d'almeida dans le journal du mali :

斯瓦希里语

anaeleza kwa celia d'almeida katika jarida la mali:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

il publie une copie de la coupure de journal et interroge ses lecteurs :

斯瓦希里语

ameweka nakala ya habari hizo kutoka gazetini na kuwauliza wasomaji wake:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

le prix du journal est toujours de 75 paise (environ 1,5 centimes).

斯瓦希里语

gazeti hili huuzwa kwa paise 75 (kiasi cha kama senti 2 za dola, au sh40).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

le journal talcual a diffusé une photo de manifestants à times square, dans la ville de new york.

斯瓦希里语

gazeti la talcual lilisambaza picha ya waandamanaji kwneye viwanja vya times square jijini new york.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

ahmed al omran sur le blog saudi jeans se montre peu élogieux envers le journal accusé de plagiat :

斯瓦希里语

saudi jeans‘ ahmed al omran anazo sifa kiduchu mno kwa gazeti hilo linalotuhumiwa kwa kitendo cha kutumia kazi za wengine kinyume cha haki miliki:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

dans un billet plus récent , le même blogueur a mentionné une mise à jour du journal telquel sur ce sujet et déclare :

斯瓦希里语

kwenye makala yake ya hivi karibuni, mwanablogu huyo anatathmini makala ya telquel kuhusiana na matukio hayo, na anaeleza hivi:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

ce nom a été utilisé pour la première fois en 1968 par un groupe informel de virologues dans le journal nature pour désigner cette nouvelle famille de virus.

斯瓦希里语

jina hili lilitumika mara ya kwanza mnamo 1968 na kikundi kisicho rasmi cha wanavairolojia katika makala ya asili ili kuashiria familia mpya ya virusi.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

circulant à 23 000 exemplaires, le journal en ourdou couvre un grand nombre de sujets de la politique à la culture en passant par le sport.

斯瓦希里语

huku likichapisha idadi ya nakala zipatazo 23,000, gazeti hili huchapisha habari mbalimbali zikiwemo zile za siasa, utamaduni na michezo katika lugha ya ki-urdu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

en 2006, ethan et moi avons écrit un article pour le journal nieman reports dans lequel nous tentions de clarifier la relation entre global voices et le journalisme.

斯瓦希里语

mwaka 2006 mimi na ethan tuliandika makala kwa ajili ya jarida la nieman reports ambamo tulitaka kuelezea uhusiano kati ya global voices na uanahabari.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

il est maintenant dirigé par le petit-fils de syed asmadullah, syed arifullah, et six calligraphes travaillent tous les jours sur ce journal de 4 pages.

斯瓦希里语

anayeliendesha hivi sasa ni mjukuu wa syed asmadullah anayeitwa syed arifullah. anasaidiwa na wataalamu wa miandiko wapatao sita ili kuchapisha gazeti hili la kurasa nne kila siku.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

julio segovia, un lecteur de l'article du journal la nación informant de cette annonce, a critiqué le fonds spécial pour le logement :

斯瓦希里语

julio segovia, ambaye ni msomaji wa makala iliyochapishwa na gazeti la la nación na ambayo ndiyo ilibeba tangazo hilo la mfuko huo maalumu, alikosoa mfuko huo maalumu wa nyuma akisema:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

blanca tapia, porte-parole de l'agence des droits fondamentaux, explique dans le journal el diario cette apparente contradiction:

斯瓦希里语

blanca tapia, msemaji wa fra,, anaelezea katika gazeti la el diario mgongano huu ulio wazi:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

enfin, el periodista cívico (le journal civique) a couvert les manifestations en mettant régulièrement à jour la liste des manifestants arrêtés dans les différentes régions du pays.

斯瓦希里语

mwisho, el periodista cívico (mwandishi wa haki za raia) amekuwa akiandika habari kuhusu maandamano hayo ya kitaifa, akiweka habari mpya kuhusu waandamanaji waliokuwa wamewekwa kizuizini katika mikoa mbalimbali ya nchi hiyo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

depuis la région de l’épicentre, robinson esparza du journal citoyen el a maule, membre du réseau diarios ciudadanos, met à jour un billet contenant les dernières informations régionales et nationales .

斯瓦希里语

karibu na kiini cha tetemeko, robinson esparza wa gazeti la kiraia la el amaule , ambalo ni sehemu ya mtandao wa diarios ciudadanos amekuwa akiweka habari mpya kadri zinavyotokea kutoka katika habari mpya za kanda na taifa .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

les premiers journaux (fr) étaient écrits à la main et aujourd'hui le musalman' est probablement le denier journal au monde écrit à la plume.

斯瓦希里语

magazeti ya mwanzo yalikuwa yakiandikwa kwa mkono 'inawezekana kwamba hivi sasa gazeti la ‘the musalman ' pengine ndiyo pekee lililobaki linaloandikwa kwa mkono ulimwenguni.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

获取更好的翻译,从
7,767,291,618 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認