您搜索了: border (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

border

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

cross-border videos

斯瓦希里语

video za kufirana ulaya

最后更新: 2019-12-29
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

northern cameroon border, where boko haram operates

斯瓦希里语

mpaka wa cameroon kaskazini, ambako where boko haram hufanya kazi zao

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

how about when it happens right across the border?

斯瓦希里语

vipi ikiwa vitendo hivyo vitatokea nje ya mipaka ya nchi?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

prevent the harassment of journalists at the u.s. border.

斯瓦希里语

kuzuia kubughudhiwa kwa waandishi wa habari kwenye mpaka wa marekani.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

missing colonial map, charged border dispute · global voices

斯瓦希里语

ramani za mpaka wa kikoloni wa sudan kusini ziko wapi?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

they are children who are pulled to cross the border by themselves.

斯瓦希里语

ni watoto wanaolazimika kusafiri hadi nchi nyingine peke yao.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

in kyiv, president poroshenko blamed rebels in the east and criticized russia for destabilizing the border.

斯瓦希里语

jijini kyiv, rais poroshenko aliwalaumu waasi mashariki mwa nchi hiyo na kuishambulia urusi kwa kufanya hali ya mpaka iwe tete.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

border crossing has long posed a risk for journalists, especially with respect to the search of electronic devices.

斯瓦希里语

kuvuka mipaka kiasi hicho kumetengeneza hatari kwa waandishi, hasa kwa kuzingatia matumizi ya vifaa vya kielekroniki .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

due to the pandemic in europe, many countries in the schengen area have restricted free movement and set up border controls.

斯瓦希里语

kutokana na janga kubwa ulaya, nchi nyingi katika eneo la schengen zimezuia safari kati yao na kuweka udhibiti mipakani.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

in august, loubna left her hometown of latakia, in western syria, fleeing across the border to turkey.

斯瓦希里语

mwezi agusti, loubna aliondoka katika mji aliokulia wa latakia, magharibi mwa syria na alisafiri kwa ndege hadi uturuki.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

many countries have shut down or severely limited flights, ships, and border crossings, especially to and from affected areas.

斯瓦希里语

nchi nyingi zimefunga au kuzuia kabisa usafiri wa ndege, meli, na kuvuka mipaka, hasa kwenda na kutoka maeneo yaliyoathirika.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

after 20 years of the iran-iraq war, border cities did not get constructed but houses in lebanon were constructed by our money.

斯瓦希里语

baada ya miaka 20 ya vita vya iraki-irani, miji ya mpakani haikujengwa lakini nyumba nchini lebanoni zilijengwa kwa pesa zetu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

boko haram assaulted bosso and diffa, two towns in southeast niger at the border with nigeria but was repelled by niger and chad's army.

斯瓦希里语

boko haram walishambulia bosso na diffa, miji miwili iliyo kusini mashariki mwa naija kwenye mpaka wa nchi hiyo na naijeria lakini walirudishwa nyuma na majeshi ya chad na naija.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

at do unto others, samuel nichols writes that israeli military patrols have started setting fire to cars which are caught trying to cross the border from the west bank into israel.

斯瓦希里语

kwenye do unto others, samuel nichols anaandika kuwa doria ya jeshi la israel imeanza kuchoma moto magari ambayo yanakamatwa yakijaribu kuvuka mpaka kutoka ukanda wa magharibikuingia israel.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

dominican blogger jose sille’ claims, also via twitter, that cesfront, the dominican border patrol, is beginning to encounter haitians desperate to flee the country.

斯瓦希里语

mwanablogu wa ki-dominika, jose sille, anaeleza, pia kupitia twita, kwamba cesfront, kitengo cha kulinda mpaka wa dominika, kimeanza kukabiliana na mmiminiko wa raia wa haiti wanaojaribu kuikimbia nchi yao.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

while some believe the historic documents could ease ongoing border disputes, researchers doubt they exist at all. joseph edward discusses the issue of missing colonial-era maps of the south sudan border.

斯瓦希里语

huku baadhi a watu wanaamini kwamba nyaraka hizo za kihistoria zinaweza kupunguza migogoro ya mpaka inayoendelea, watafiti wanatilia shaka uwepo wa ramani hizo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

as of mid-march 2020, europe is the epicenter of the epidemic, and many european countries have closed their borders to international travel - only border commuters and freight are allowed to cross.

斯瓦希里语

hadi kati ya machi 2020, ulaya imekuwa kitivo cha janga hili, na nchini nyingi za ulaya zimefunga mipaka yao kwa usafiri wa kimataifa - wasafiri wa mipaka na wasafirisha mizigo pekee ndio wameruhusiwa kuvuka.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

three helicopters (two ka-27 and one mi-8) landed at the kacha airport and passed through the border and customs established procedures according to an application made preliminarily.

斯瓦希里语

helkopita tatu (mbili ka-27 na moja mi-8) ilitua kwenye uwanja wa ndege wa kacha na kuvuka mpaka na utaratibu uliopo wa kudhibiti forodha kwa mujibu wa maombo yaliyoweka mwanzoni.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,735,143,743 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認