来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
what are you engaging in? where do you come from?
je unajishughulisha na nini? unatokea wapi?
最后更新: 2018-04-30
使用频率: 1
质量:
参考:
the kids are reading and seriously engaging with the stories!
watoto wanasoma na kuhusika na hadithi!
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
they will advance to each other, engaging in mutual enquiry.
wataelekeana wakiulizana.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
参考:
say: "god," and leave them to the sport of engaging in vain discourse.
sema: mwenyezi mungu. kisha waache wacheze katika porojo lao.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
参考:
警告:包含不可见的HTML格式
some south africans accuse foreigners of taking away jobs, businesses, and engaging in criminal activities.
baadhi ya watu wa afrika kusini wanawatuhumu wahamiaji kuwachukulia nafasi zao za kazi, biashara, pamoja na kujihusisha na uhalifu.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
on several occasions, monks have been found of engaging in violent behavior or misconduct including having sex or watching pornography.
watawa wameripotiwa kushiriki katika matukio kadhaa yaliyohusisha utumiaji nguvu au utovu wa nidhamu ikiwemo kushiriki tendo la ngono au kutazama picha na video za ngono.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
its anchor bollywood actor and filmmaker aamir khan is bringing out on the table taboo and sensational social issues which are engaging more and more indians.
mtanganzaji wake ambaye ni muigizaji na mtengeneza filamu wa bollywood, aamir khan anaweka wazi miiko na maswala mengine motomoto ya kijamii ambayo yanawavutia na kuwanasa wahindi wengi.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
as sudan moves towards elections in april, technology has the potential to play a major role in both engaging citizens and in monitoring the political process.
wakati sudani inaelekea uchaguzi mwezi aprili, teknolojia ina uwezo wa kucheza nafasi kubwa katika kuwashirikisha raia na katika kufuatilia mchakato wa kisiasa.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
if something similar could be rolled out nationwide allowing people with just a mobile phone to post questions and receive responses from party candidates this could prove very useful in engaging all south africans.
kama mpango huu utasambazwa nchini kote na kuruhusu watu wenye simu za mkononi kutuma maswali yao na kupokea majibu kutoka kwa wagombea, hatua hiyo itakuwa yenye manufaa sana katika kuwashirikisha waafrika ya kusini wote.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
we maintain our demands for external control over the members of the moi, for fundamental reform of the special forces, and for humanization of the profession of policeman, through engaging policemen in work beneficial to society.
tungali tukisisitiza madai yetu kwa hatua zaidi za kudhibiti wafanyakazi wa moi, kwa ajili ya mageuzi ya kimsingi ya vikosi maalum, na kwa ajili ya kuifanya taaluma ya polisi kuingiwa na ubinadamu, kwa kuwashirikisha polisi kazi zenye manufaa kwa jamii.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
mr. asisa who is a member of the amasom peace-keepers in somalia have been found guilty for engaging in an affair with a young somali woman by the name of nimco omar and impregnating her after marrying her under a false pretence by telling her that he was a muslim.
asisa ambaye ni mwanachama wa walinzi wa amani wa amasom nchini somalia alipatiaka na hatia ya kujuhusisha na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke wa kisomali aitwaye nimco omar na kumpa ujauzito baada ya kumuoa kwa kumdanganya kuwa alikuwa mwislamu.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
however, ten were charged on october 31, 2014 under ethiopia's anti-terrorism proclamation with having links to diaspora-based ethiopian opposition groups such as ginbot 7, applying to attend an online security training, and engaging in online activism.
hata hivyo, kumi kati yao walisomewa mashtaka yao mnamo oktoba 31, 2014 chini ya sheria ya ethiopia ya kupambana na ugaidi kwa madai kuwa wana mitandao ya makundi ya upinzani ya wa-ethiopia wanaoishi nje ya nchi hiyo kama vile ginbot 7, kutuma maombi ya kuhudhuria mafunzo ya usalama wa kimtandao, pamoja nna kujihusisha na uanaharakati wa mtandaoni.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考: