来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
a partylist group in the philippines wants to introduce a law that would put a ten-year expiration date on marriage contracts.
kikundi kimoja cha masuala maalum ya jamii nchini philippines kinataka kuwasilisha sheria ambayo itaufanya mkataba wa ndoa kuwa na nguvu kwa miaka kumi tu.
federico boyd sulapas dominguez uploaded this painting in time for the asia-pacific economic cooperation summit which will be held in the philippines.
federico boyd sulapas dominguez alipakia mchoro huu wakati wa kuelelekea kwenye kongamano la ushirika wa kiuchumi la asia-pacific linalotarajiwa kufanyika nchini ufilipino.
aside from exposing the negative impact of militarization, the painting also shows how government laws unfairly discriminate against the philippines' ethnic communities.
mbali na kuweka bayana athari za matumizi ya nguvu za kijeshi, michoro yake pia inaonesha namna ambavyo sheria za nchi zinavyobagua jamii za makabila ya nchini ufilipino.
lumad is a collective term referring to the indigenous tribes in mindanao, the philippines’ second biggest island located in the southern part of the country.
lumad ni neno linalotumika kutambulisha makabila ya wazawa wa mindanao, kisiwa cha pili kwa ukubwa nchini ufilipino kilichopo upande wa kusini wa nchi hii.