您搜索了: zambians (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

zambians

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

hence to him allowing street vendors is empowering zambians.

斯瓦希里语

kwa hiyo kwake kuruhusu “wamachinga” ni kuwawezesha wa-zambia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

zambians weigh in on the revelation at zambian watchdog website:

斯瓦希里语

wa-zambia wanatathmini habari hizi katika wavuti ya zambian watchdog:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a public feedback to zambians is crucial just like his own son, mulenga.

斯瓦希里语

mrejesho wa wazi kwa wa-zambia ni wa muhimu kama ilivyo kwa mwanae, mulenga.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

it appears that there is no shortage of political revelations for zambians these days.

斯瓦希里语

inaonekana kwamba kuna upungufu wa mambo mapya ya kisiasa yanayoibuliwa kwa wa-zambia siku hizi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

it is understandable why zambians are concerned with the health of their presidents or those aspiring to be presidents.

斯瓦希里语

inaeleweka kwa nini wazambia wana wasiwasi na afya ya marais wao au wale wanaotaka kuwa marais.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

it is more than contracting a soccer coach when it comes to the zambians abroad and the investments they will bring to the country.

斯瓦希里语

ni zaidi sana kuliko kumwajiri kocha wa soka pale linapokuja suala la wazambia waishio nje ya nchi na kiwango cha uwekezaji watakachokifanya katika nchi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

in 1986, zambians in the copperbelt and lusaka regions rioted because the price of maize increased several fold when incomes were stagnant.

斯瓦希里语

mwaka 1986, wa_zambia wanaoishi kwenye majimbo ya copperbelt na lusaka waligoma kwa sababu bei ya mahindi ilikuwa imeongezeka mara dufu wakati kipato walichokuwa wanakipata kilibaki vile kilivyokuwa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

please mr secretary general, we as zambians have accepted that we are a christian nation, it is in our constitution and so becomes our right.

斯瓦希里语

tafadhali bw. katibu mkuu, sisi kama wa-zambia tumeridhia kuwa tu taifa la kikristo, ni katiba yetu na hiyo inakuwa haki yetu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

i really do not even know what to say but all i can say is that i feel so disgusted and i really do not know what we can do and what we shall do to make the dice fall in our favor as zambians one day

斯瓦希里语

hata sijui nini cha kusema lakini kile ninachoweza kusema sasa ni kwamba ninajisikia kukerwa na kwa kweli sijui cha kufanya na kile ambacho sote kama taifa tunaweza kufanya ili angalau sekta ya madini itufaidishe na sisi siku moja

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

nearly a month later, zambians were in the dark if their president, who had in previous months appeared unwell, was back in the country or not.

斯瓦希里语

takribani mwezi mmoja baadae, wa-zambia hawakuwa wanajua lolote kuhusu ikiwa rais wao, ambaye kwa miezi iliyopita alionekana kuwa mdhaifu, alikuwa amerudi ama la.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

president michael sata recently passed away in london and it appears his health and medical condition where shrouded in secrecy, why were zambians not notified of the presidents failing health?

斯瓦希里语

rais michael sata siku za hivi karibuni amefariki dunia jijini london na inaonekana afya yake na huduma za tiba alizopatiwa ziligobikwa na usiri, kwa nini wananchi wa zambia hawakupewa taarifa za kuzorota kwa afya ya rais?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

dual citizenship is controversial because most zambians abroad want it included in the new constitution being drawn up, but renard's status has effectively short-circuited the procedure.

斯瓦希里语

suala la uraia wa nchi mbili bado lina mzozo kwa sababu wazambia wengi wanaoishi nje ya nchi wanataka suala hilo liingizwe kwenye katiba mpya inayoandaliwa hivi sasa, lakini hali ya renard ya sasa kuhusu uraia wake ni kama vile imetia dosari mchakato huo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

vision statement zapp’s vision is a leading platform for both ordinary and empowered zambians who freely express themselves and are heard in zambia’s democratic governance and promotion of socioeconomic activities of the nation.

斯瓦希里语

tamko la dira maono ya zapp ni kuongoza jukwaa la wa-zambia wa kawaida na wale wenye nafasi katika uongozi ambao hujieleza kwa uhuru na kusikiwa katika serikali ya kidemokrasia ya zambia na kukuza shughuli za kijamii na kiuchumi katika taifa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

on the facebook group, 90 days (government thumbs up/down every 90 days, maria kapambwe kasolo, gave the reason why zambians left the country en masse:

斯瓦希里语

kwenye kikundi cha facebook, siku 90 (serikali yasitahili pongezi/yakosolewa baada ya siku 90), maria kapambwe kasolo, alitoa sababu kwa nini wa-zambia waliondoka nchini humo kwa makundi makubwa:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

my parents are zambian

斯瓦希里语

最后更新: 2024-04-01
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,763,147,433 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認