您搜索了: deportación (西班牙语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Spanish

Swahili

信息

Spanish

deportación

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

西班牙语

斯瓦希里语

信息

西班牙语

josías engendró a jeconías y a sus hermanos en el tiempo de la deportación a babilonia

斯瓦希里语

yosia alimzaa yekonia na ndugu zake. huo ulikuwa wakati wayahudi walipopelekwa uhamishoni babuloni.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

西班牙语

después de la deportación a babilonia, jeconías engendró a salatiel; salatiel engendró a zorobabel

斯瓦希里语

baada ya wayahudi kupelekwa uhamishomi babuloni: yekonia alimzaa shealtieli, shealtieli alimzaa zerobabeli,

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

西班牙语

los trabajadores domésticos migrantes que demandan a sus empleadores por abuso continúan, sin embargo enfrentan obstáculos y riesgos de prisión y deportación debido al sistema restrictivo de la visa.

斯瓦希里语

matukio ya wahamiaji wanaofanya kazi za ndani kuwashitaki waajiri wao kwa kuwadhalilisha yanazidi kushika kasi, hata hivyo, wanakabiliwa na changamoto za kisheria na hatari ya kuwekwa gerezani na kurudishwa makwao kutokan na mfumo kandamizi wa taratibu za uhamiaji.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

de manera que todas las generaciones desde abraham hasta david son catorce generaciones, y desde david hasta la deportación a babilonia son catorce generaciones, y desde la deportación a babilonia hasta el cristo son catorce generaciones

斯瓦希里语

basi, kulikuwa na vizazi kumi na vinne tangu abrahamu mpaka daudi, vizazi kumi na vinne tangu daudi mpaka wayahudi walipochukuliwa mateka babuloni, na vizazi kumi na vinne tangu kuchukuliwa mateka mpaka wakati wa kristo.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

西班牙语

Él y la secretaria napolitano también mostraron compasión al suspender las deportaciones a haití durante dieciocho meses al otorgar el tps (estatus de protección temporal) a los haitianos actualmente en los estados unidos; botar a un puñado más de personas a la escena de devastación actual sería como mínimo inútil y como máximo desastroso.

斯瓦希里语

yeye na waziri napolitano pia walionyesha huruma kwa kusogeza mbele uondoshwaji kwa nguvu wa raia wa haiti kutoka nchini marekani kwa miezi kumi na nane baada ya kuwapa tps raia wanaoishi nchini humo hivi sasa; kuwatupilia mbali baadhi ya watu katika kipindi hiki halitakuwa jambo lenye msaada, sana sana litakuwa na mwisho mbaya.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,765,062,667 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認