您搜索了: traductores (西班牙语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Spanish

Swahili

信息

Spanish

traductores

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

西班牙语

斯瓦希里语

信息

西班牙语

nuestros traductores procesan estas historias en más de 35 idiomas.

斯瓦希里语

watafsiri wetu wanahakikisha kwamba habari hizo zinapatika katika lugha 35.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

global voices es una comunidad de blogueros, activistas, autores, y traductores de 137 países.

斯瓦希里语

global voices ni jumuia ya wanablogu, wanaharakati, waandishi, na watafisi kutoka katika nchi 137.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

muchas de estas traducciones han sido obra de miembros del proyecto lingua de global voices, una comunidad de traductores voluntarios.

斯瓦希里语

nyingi za tafsiri hizi zimefanywa na wanachama wa mradi wa lingua wa global voices, jamii ya watafsiri wanaojitolea.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

los traductores voluntarios de euromaidán están más ocupados que nunca, traduciendo tantas actualizaciones desde la escena de las protestas como es posible.

斯瓦希里语

watafsiri wa kujitolea wa euromaidan wamekabiliwa na shughuli nyingi kuliko ilivyowahi kuwa, wakitafsiri habari mpya nyingi kadri iwezekanavyo kutoka kwenye maeneo yanakofanyikia maandamano.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

global voices es una comunidad de voluntarios sin fronteras con más de 1400 escritores, analistas, expertos en medios en línea y traductores.

斯瓦希里语

global voices ni jamii isiyo na mipaka, kwa sehemu kubwa jumuiya ya watu wanaojitolea yenye waandishi, wachambuzi, wataalamu wa uandishi wa mtandaoni na wafasiri wapatao 1400.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

tradicionalmente, global voices ha tenido una fuerte comunidad de autores, traductores voluntarios y editores que viven en los alrededores del área metropolitana de el cairo.

斯瓦希里语

kwa kawaida, global voices imekuwa na jumuiya imara ya waandishi wanaojitolea, watafsiri, na wahariri wanaoishi katika mji mkuu wa cairo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

actualmente hay 16 traductores malgaches activos, entre ellos está una de las traductoras más jóvenes de global voices, radifera felana candy, de 16 años de edad.

斯瓦希里语

kwa sasa mradi huo unaendeshwa na watafsiri wa ki-malagasi wapatao 16 miongoni mwao akiwamo mmoja wa watafsiri wadogo kabisa wa global voices , mwenye umri wa miaka 16 aitwaye radifera felana candy.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

el apoyo a los manifestantes ha llegado desde diversos grupos, con cientos de traductores organizándose a través del grupo de facebook #csstatranslategroup para traducir historias sobre el incidente.

斯瓦希里语

waandamanaji walipata uungwaji mkono kutoka kwenye makundi mbalimbali, huku mamia ya watafsiri wakijipanga kupitia mtandao wa facebook kwneye kundi liitwalo #csstatranslategroup (kundi la kutafsiri mkataba huo) ili kuweza kutafsiri habari zinazohusiana na tukio hilo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

editado por david iaconangelo, un estudiante de la universidad john hopkins en baltimore, y en la plataforma de blogger, zafra lit bosqueja los esfuerzos de estudiantes traductores que voluntariamente usan su tiempo y habilidades.

斯瓦希里语

gazeti linahaririwa na david iaconangelo, ambaye ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha johns hopkins huko baltimore, huku likiendeshwa katika zana ya blogger,zafra lit linategemea juhudi za wafasiri wanafunzi ambao wanajitolea muda na ustadi wao.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

"nuestra asociación con global voices es una señal de que podemos llegar a más familias, a través de la colaboración con su poderosa red de traductores y blogueros" dice ida jeng de refugees united.

斯瓦希里语

"ushirikiano na global voices ni ushahidi wa namna tunavyoweza kuzifikia familia nyingi zaidi kwa kushirikiana na mtandao wao imara wa watafsiri na wanablogu,” anasema ida jeng wa shirika hilo la refugees united.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

西班牙语

el traductor.

斯瓦希里语

ndiyo.

最后更新: 2024-02-08
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,761,929,294 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認