您搜索了: المحبة (阿拉伯语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Arabic

Swahili

信息

Arabic

المحبة

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

阿拉伯语

斯瓦希里语

信息

阿拉伯语

لتثبت المحبة الاخوية.

斯瓦希里语

endeleeni kupendana kidugu.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

لذلك اطلب ان تمكنوا له المحبة.

斯瓦希里语

kwa hiyo nawasihi: mwonyesheni kwamba mnampenda.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

وعلى جميع هذه البسوا المحبة التي هي رباط الكمال

斯瓦希里语

zaidi ya hayo yote, zingatieni upendo kwani upendo huunganisha kila kitu katika umoja ulio kamili.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

ولنلاحظ بعضنا بعضا للتحريض على المحبة والاعمال الحسنة

斯瓦希里语

tujitahidi kushughulikiana kwa ajili ya kuongezeana bidii ya kupendana na kutenda mema.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

المحبة لا تصنع شرا للقريب. فالمحبة هي تكميل الناموس

斯瓦希里语

ampendaye jirani yake hamtendei vibaya. basi, kwa mapendo sheria yote hutimizwa.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

اتبعوا المحبة ولكن جدوا للمواهب الروحية وبالأولى ان تتنبأوا.

斯瓦希里语

jitahidini kuwa na upendo. vilevile fanyeni bidii ya kupata vipaji vingine vya kiroho, hasa kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

المحبة فلتكن بلا رياء. كونوا كارهين الشر ملتصقين بالخير.

斯瓦希里语

mapendo yenu na yawe bila unafiki wowote. chukieni jambo lolote ovu, zingatieni jema.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

بكل تواضع ووداعة وبطول اناة محتملين بعضكم بعضا في المحبة.

斯瓦希里语

muwe daima wanyenyekevu, wapole na wenye saburi; vumilianeni ninyi kwa ninyi kwa mapendo.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

اما الآن فيثبت الايمان والرجاء والمحبة هذه الثلاثة ولكن اعظمهن المحبة

斯瓦希里语

sasa yanadumu haya matatu: imani, tumaini na upendo; lakini lililo kuu kupita yote ni upendo.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

المحبة تتأنى وترفق. المحبة لا تحسد. المحبة لا تتفاخر ولا تنتفخ

斯瓦希里语

mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

ولكن قبل كل شيء لتكن محبتكم بعضكم لبعض شديدة لان المحبة تستر كثرة من الخطايا.

斯瓦希里语

zaidi ya yote pendaneni kwa moyo wote, maana upendo hufunika dhambi nyingi.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

في هذه هي المحبة ليس اننا نحن احببنا الله بل انه هو احبنا وارسل ابنه كفارة لخطايانا

斯瓦希里语

hivi ndivyo upendo ulivyo: si kwamba sisi tulikuwa tumempenda mungu kwanza, bali kwamba yeye alitupenda hata akamtuma mwanae awe sadaka ya kutuondolea dhambi zetu.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

ايها الاحباء لنحب بعضنا بعضا لان المحبة هي من الله وكل من يحب فقد ولد من الله ويعرف الله.

斯瓦希里语

wapenzi wangu, tupendane, maana upendo hutoka kwa mungu. kila mtu aliye na upendo ni mtoto wa mungu, na anamjua mungu.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

بهذا تكملت المحبة فينا ان يكون لنا ثقة في يوم الدين لانه كما هو في هذا العالم هكذا نحن ايضا.

斯瓦希里语

upendo umekamilika ndani yetu kusudi tuweze kuwa na ujasiri siku ile ya hukumu; kwani maisha yetu hapa duniani ni kama yale ya kristo.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

الذي منه كل الجسد مركبا معا ومقترنا بموازرة كل مفصل حسب عمل على قياس كل جزء يحصّل نمو الجسد لبنيانه في المحبة

斯瓦希里语

chini ya uongozi wake, viungo vyote vya mwili hushikamana pamoja, na mwili wote hutegemezwa kwa msaada wa viungo vyake. basi, kila kiungo kikitekeleza kazi yake ipasavyo, mwili wote hukua na kujijenga katika upendo.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

لا خوف في المحبة بل المحبة الكاملة تطرح الخوف الى خارج لان الخوف له عذاب واما من خاف فلم يتكمل في المحبة.

斯瓦希里语

palipo na upendo hapana uoga; naam, upendo kamili hufukuza uoga wote. basi, mtu mwenye uoga hajakamilika bado katika upendo, kwani uoga huhusikana na adhabu.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

اخيرا ايها الاخوة افرحوا. اكملوا. تعزوا. اهتموا اهتماما واحدا. عيشوا بالسلام واله المحبة والسلام سيكون معكم.

斯瓦希里语

kwa sasa, ndugu, kwaherini! muwe na ukamilifu, shikeni mashauri yangu, muwe na nia moja; kaeni kwa amani. naye mungu wa mapendo na amani atakuwa pamoja nanyi.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

阿拉伯语

يسأل المدون بسخرية ما هي جريمة مهراوه: "لكوني ابنة نسرین ستوده"، وكونها طفلة تبلغ من العمر 13 عاما، محبة لوالدها ووالدتها، راعية لشقيقها الأصغر . .

斯瓦希里语

mwanablogu huyo anauliza kwa hasira kosa hasa la mehraveh ni lipi: ni kule kuwa mtoto wa nasrim stoudeh, ni kule kuwa mtoto wa miaka 13, je ni kuwapenda wazazi wake, kumtunza kakaye mdogo...kiukweli ni ali khamenei mwenyewe anayeweza kujua kosa la huyu msichana...tusikatishwe tamaa na kesi hii ya mehraveh, vinginevyo, wafungwa wote wa kisiasa watapelekwa katika gereza la evin.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,736,256,476 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認