您搜索了: akamchukua (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

akamchukua

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

yesu aliwaambia jambo hilo waziwazi. basi, petro akamchukua kando, akaanza kumkemea.

英语

and he spake that saying openly. and peter took him, and began to rebuke him.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hivyo, yosefu alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani.

英语

then joseph being raised from sleep did as the angel of the lord had bidden him, and took unto him his wife:

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini lusia, mkuu wa jeshi, aliingilia kati, akamchukua kwa nguvu kutoka mikononi mwetu.

英语

but the chief captain lysias came upon us, and with great violence took him away out of our hands,

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kisha ibilisi akamchukua hadi mahali pa juu, akamwonyesha kwa mara moja falme zote za ulimwengu. huyo shetani akamwambia,

英语

and the devil, taking him up into an high mountain, shewed unto him all the kingdoms of the world in a moment of time.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hapo petro akamchukua kando, akaanza kumkemea: "isiwe hivyo bwana! jambo hili halitakupata!"

英语

then peter took him, and began to rebuke him, saying, be it far from thee, lord: this shall not be unto thee.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

hapo, barnaba alikuja akamchukua saulo, akampeleka kwa mitume na kuwaeleza jinsi saulo alivyomwona bwana njiani na jinsi bwana alivyoongea naye. aliwaambia pia jinsi saulo alivyokuwa amehubiri bila uoga kule damasko.

英语

but barnabas took him, and brought him to the apostles, and declared unto them how he had seen the lord in the way, and that he had spoken to him, and how he had preached boldly at damascus in the name of jesus.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

askari akamchukua huyo kijana, akamwongoza mpaka kwa mkuu wa jeshi, akasema, "yule mfungwa paulo ameniita akaniomba nimlete kijana huyu kwako kwa maana ana jambo la kukwambia."

英语

so he took him, and brought him to the chief captain, and said, paul the prisoner called me unto him, and prayed me to bring this young man unto thee, who hath something to say unto thee.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,794,957,657 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認