您搜索了: majeruhi (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

majeruhi

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kuna idadi kubwa sna ya majeruhi hapa!

英语

there's a huge number of injured people here!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tunawatakia majeruhi wa shambulio kupona kwa haraka.

英语

all our thoughts are with the victims of the attack.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hiyo majeruhi tuliowaona jana wametokana na hisia zetu

英语

the injuries last night were a figment of our imagination

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

milio ya risasi inasikika na kuna majeruhi wengi.

英语

gunshots and many injuries.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni majengo matatu kutoka hapa nilipo; kuna majeruhi!

英语

its three building away from me; there are casualties!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya tarchileik na ile ya mine phyat.

英语

wounded people have been sent to tarchileik hospital and mine phyat hospital.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

sudani: “polisi yakanusha kutumia risasi; majeruhi wote ni wakufikirika

英语

sudan: "police denies use of bullets; all injuries are imaginary" · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kwa jinsi polisi wa kutuliza ghasia wanavyoshambulia maidan majeruhi kadhaa waliripotiwa maeneo yote.

英语

as special forces began storming maidan numerous injuries were reported on both sides.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuna wasiwasi kuwa polisi wanaweza kuanza kuwakamata wale wanaotoa taarifa za majeruhi, na akatwiti:

英语

there were concerns that police might arrest those who report injuries, and she tweeted:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwenzake, kijana mdogo, naye anaitoa bunduki yake na kuiweka kwa majeruhi huyo, wakati wawili hao wakitoroka.

英语

his companion, a younger man, also pulls out a gun and keeps it trained on the injured man, as the two exit the carriage.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hapakuwa na majeruhi walioripotiwa lakini (tetemeko) lilitikisa na kuwaathiri watu wa jiji kubwa lenye wakazi wengi la dhaka.

英语

apparently no casualties were reported but it rattled the affected people of dhaka, a populous mega city.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mujibu wa ripoti rasmi za hivi karibuni, zaidi ya watu 2,000 wamefariki lakini majeruhi wanaweza kuwa zaidi kwa sababu maiti mingi bado haijapatikana.

英语

according to the latest official report, more than 2,000 have died but the casualties could be higher because many dead bodies have yet to be retrieved.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mpaka sasa taarifa za majeruhi wanaotokana na tetemeko la ardhi lililoikumba haiti zimejikita kwenye takwimu za kutisha, lakini ni majina machache tu ndiyo yameambatanishwa kwenye namba hizo.

英语

so far the casualty reports from haiti's earthquake have focused on the terrifying statistics, but very few names had been attached to those numbers.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

dhoruba kubwa ya kitropiki ya maring ilisababisha mafuriko makubwa kuwahi kutokea katika metro manila na mikoa ya jirani nchini ufilipino ambayo ilisababisha vifo vya watu 8, majeruhi 41, na 4 wakiwa hawajulikani walipo.

英语

tropical storm maring (international name trami) caused record high floods in metro manila and nearby provinces in the philippines which left 8 people dead, 41 injured, and 4 missing.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@abdulhadikhalaf: wizara ya mambo ya ndani iliyo katili inajaribu kuvunja mlango**** ndio maana kuna idadi kubwa ya majeruhi miongoni mwa waonevu?

英语

@abdulhadikhalaf: ministry of interior thugs try to break a door****is that why there are numerous injuries among thugs?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

idadi ya watu waliotiwa kizuizini kwa kutoa maoni ya kisiasa yaliyo kinyume na wale wa chama tawala iliongezeka sambamba na kuongezeka kwa ukatili wa polisi uliodhihirishwa na idadi kubwa ya vifo na majeruhi unaosababishwa na vurugu, na idadi ya wakulima ambao walinyang'anywa ardhi yao bila fidia ya kutosha nayo iliongezeka.

英语

the number of people detained for political views contrary to those of the ruling party increased, unabated police violence was reflected in the still high number of deaths and injuries caused by such violence, and the number of farmers whose land was expropriated without adequate compensation was on the rise.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@primagaba alitaka kujua manusuru waliopata majeruhi walioko: ‪‬‪‬ @primagaba: tunapokumbuka julai 11 macho yote ya serikali yako #somalia lakini vipi kuhusu wenzetu walionusurika katika tukio hilo?

英语

@primagaba: as ‪#werememberjuly11‬ government commitment is in ‪#somalia‬ but how about the survivors?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,779,741,206 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認