Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
they did not run, they waited for the cops.
hawakukimbia, waliwasubiri polisi.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
we need a system where women can approach cops fearlessly.
tunahitaji mfumo ambao utawafanya wanawake waweze kuongea na mapolisi bila ya woga.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
@mwanikih: cops making a bad situation worse by forcefully trying to evacuate the crowds.
@mwanikih: polisi wanafanya hali hii ambayo tayari ni mbaya kuwa mbaya zaidi kwa kutumia nguvu kuwatawanya watu.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
aquino’s speech during the service also became the butt of online jokes for being more about himself than the fallen cops.
hotuba ya aquino wakati wa ibada hiyo iligeuka kuwa kituko mtandaoni kwa kusemekana kuzungumzia mambo yake binafsi kuliko marehemu.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
a protester who was run over by a cop on a motorcycle???
mwandamanaji ambaye alikanyagwa na kupitiwa juu yake na askari anayeendesha pikipiki??
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: