Results for أللهم آمين يا رب العالمين translation from Arabic to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Arabic

Swahili

Info

Arabic

أللهم آمين يا رب العالمين

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Arabic

Swahili

Info

Arabic

أمين سوما أمين يا رب العلمين

Swahili

ameen summa ameen ya rabbul alameen

Last Update: 2024-02-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

فقالوا يا رب هوذا هنا سيفان. فقال لهم يكفي

Swahili

nao wakasema, "bwana, tazama; hapa kuna panga mbili." naye akasema, "basi!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

فلما رأى بطرس هذا قال ليسوع يا رب وهذا ما له.

Swahili

basi, petro alipomwona huyo akamwuliza yesu, "bwana, na huyu je?"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

ثم قال ليسوع اذكرني يا رب متى جئت في ملكوتك.

Swahili

kisha akasema, "ee yesu! unikumbuke wakati utakapoingia katika ufalme wako."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

فقال له بطرس يا رب ألنا تقول هذا المثل ام للجميع ايضا.

Swahili

petro akamwambia, "bwana, mfano huo ni kwa ajili yetu tu, au ni kwa ajili ya watu wote?"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

فحزنوا جدا وابتدأ كل واحد منهم يقول له هل انا هو يا رب.

Swahili

wanafunzi wakahuzunika sana, wakaanza kuuliza mmojammoja, "bwana! je, ni mimi?"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

فقال له يا رب اني مستعد ان امضي معك حتى الى السجن والى الموت.

Swahili

naye petro akamjibu, "bwana, mimi niko tayari kwenda pamoja nawe gerezani, na hata kufa."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

فاجابه سمعان بطرس يا رب الى من نذهب. كلام الحياة الابدية عندك.

Swahili

simoni petro akamjibu, "bwana, tutakwenda kwa nani? wewe unayo maneno yaletayo uzima wa milele.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

ثم جثا على ركبتيه وصرخ بصوت عظيم يا رب لا تقم لهم هذه الخطية. واذ قال هذا رقد

Swahili

akapiga magoti, akalia kwa sauti kubwa: "bwana, usiwalaumu kwa sababu ya dhambi hii." baada ya kusema hivyo, akafa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

حينئذ تقدم اليه بطرس وقال يا رب كم مرة يخطئ اليّ اخي وانا اغفر له. هل الى سبع مرات.

Swahili

kisha petro akamwendea yesu, akamwuliza, "je, ndugu yangu akinikosea, nimsamehe mara ngapi? mara saba?"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

فوقف زكا وقال للرب ها انا يا رب اعطي نصف اموالي للمساكين وان كنت قد وشيت باحد ارد اربعة اضعاف.

Swahili

lakini zakayo akasimama akamwambia yesu, "sikiliza bwana! mimi nitawapa maskini nusu ya mali yangu, na kama nimenyang'anya mtu yeyote kitu, nitamrudishia mara nne."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

فيجيبه الابرار حينئذ قائلين. يا رب متى رأيناك جائعا فاطعمناك. او عطشانا فسقيناك.

Swahili

hapo, hao watu wema watamjibu mfalme bwana, ni lini tulikuona mwenye njaa nasi tukakupa chakula, au ukiwa na kiu nasi tukakunywesha maji?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

فلما رأى ذلك تلميذاه يعقوب ويوحنا قالا يا رب أتريد ان نقول ان تنزل نار من السماء فتفنيهم كما فعل ايليا ايضا.

Swahili

basi, wanafunzi wake, kina yohane na yakobo, walipoona hayo, wakasema, "bwana, wataka tuamuru moto ushuke kutoka mbinguni uwateketeze?"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

حينئذ يجيبونه هم ايضا قائلين يا رب متى رأيناك جائعا او عطشانا او غريبا او عريانا او مريضا او محبوسا ولم نخدمك.

Swahili

"hapo nao watajibu, bwana, ni lini tulikuona ukiwa na njaa au kiu, ukiwa mgeni au bila nguo, ukiwa mgonjwa au mfungwa, nasi hatukuja kukuhudumia?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

فجعل بطرس يقول ليسوع يا رب جيد ان نكون ههنا. فان شئت نصنع هنا ثلاث مظال. لك واحدة ولموسى واحدة ولايليا واحدة.

Swahili

hapo petro akamwambia yesu, "bwana, ni vizuri sana kwamba tupo hapa! ukipenda nitajenga vibanda vitatu: kimoja chako, kimoja cha mose na kimoja cha eliya."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

فبعدما تغدوا قال يسوع لسمعان بطرس يا سمعان بن يونا أتحبني اكثر من هؤلاء. قال له نعم يا رب انت تعلم اني احبك. قال له ارع خرافي.

Swahili

walipokwisha kula, yesu alimwuliza simoni petro, "simoni, mwana wa yohane! je, wanipenda mimi zaidi kuliko hawa?" naye akajibu, "naam, bwana; wajua kwamba mimi nakupenda." yesu akamwambia, "tunza wana kondoo wangu."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

قال له ثالثة يا سمعان بن يونا أتحبني. فحزن بطرس لانه قال له ثالثة أتحبني فقال له يا رب انت تعلم كل شيء. انت تعرف اني احبك. قال له يسوع ارع غنمي.

Swahili

akamwuliza mara ya tatu, "simoni mwana wa yohane! je, wanipenda?" hapo petro akahuzunika kwa sababu alimwuliza mara ya tatu: "wanipenda?" akamwambia, "bwana, wewe wajua yote; wewe wajua kwamba mimi nakupenda." yesu akamwambia, "tunza kondoo wangu!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

فلما ابصراه اندهشا. وقالت له امه يا بنيّ لماذا فعلت بنا هكذا. هوذا ابوك وانا كنا نطلبك معذبين.

Swahili

wazazi wake walipomwona walishangaa. maria, mama yake, akamwuliza, "mwanangu, kwa nini umetutenda hivyo? baba yako na mimi tumekuwa tukikutafuta kwa huzuni."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

فاجاب وقال لهم امي واخوتي هم الذين يسمعون كلمة الله ويعملون بها

Swahili

lakini yesu akawaambia watu wote, "mama yangu na ndugu zangu ni wale wanaolisikia neno la mungu na kulishika."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,780,181,720 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK