Results for المقدسة translation from Arabic to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Arabic

Swahili

Info

Arabic

المقدسة

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Arabic

Swahili

Info

Arabic

الذي سبق فوعد به بانبيائه في الكتب المقدسة

Swahili

hapo kale, mungu aliwaahidia watu hii habari njema kwa njia ya manabii wake katika maandiko matakatifu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

ثم اخذه ابليس الى المدينة المقدسة واوقفه على جناح الهيكل.

Swahili

kisha ibilisi akamchukua mpaka yerusalemu, mji mtakatifu, akamweka juu ya mnara wa hekalu,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

وخرجوا من القبور بعد قيامته ودخلوا المدينة المقدسة وظهروا لكثيرين.

Swahili

nao, baada ya kufufuka kwake, wakatoka makaburini, wakaingia katika mji mtakatifu, wakaonekana na watu wengi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

وانك منذ الطفولية تعرف الكتب المقدسة القادرة ان تحكّمك للخلاص بالايمان الذي في المسيح يسوع.

Swahili

unakumbuka kwamba tangu utoto wako umeyajua maandiko matakatifu ambayo yaweza kukupatia hekima iletayo wokovu kwa njia ya imani kwa kristo yesu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

وذهب بي بالروح الى جبل عظيم عال وأراني المدينة العظيمة اورشليم المقدسة نازلة من السماء من عند الله

Swahili

basi, roho akanikumba, naye malaika akanipeleka juu ya mlima mrefu sana. akanionyesha mji mtakatifu, ukishuka kutoka kwa mungu mbinguni,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

لانه كان خيرا لهم لو لم يعرفوا طريق البر من انهم بعدما عرفوا يرتدّون عن الوصية المقدسة المسلمة لهم.

Swahili

ingalikuwa afadhali kwao kama wasingalijua kamwe njia hiyo ya uadilifu kuliko kujua na kisha kuiacha na kupoteza amri takatifu waliyopokea.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

وان كان احد يحذف من اقوال كتاب هذه النبوّة يحذف الله نصيبه من سفر الحياة ومن المدينة المقدسة ومن المكتوب في هذا الكتاب

Swahili

na mtu yeyote akipunguza chochote katika maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki, mungu atamnyang'anya sehemu yake katika ule mti wa uzima, na sehemu yake katika mji mtakatifu, ambavyo vimeelezwa katika kitabu hiki.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

ألستم تعلمون ان الذين يعملون في الاشياء المقدسة من الهيكل يأكلون. الذين يلازمون المذبح يشاركون المذبح.

Swahili

je, hamjui kwamba wanaotumikia hekaluni hupata chakula chao hekaluni, na kwamba wanaotolea sadaka madhabahuni hupata sehemu ya hiyo sadaka?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

واما الدار التي هي خارج الهيكل فاطرحها خارجا ولا تقسها لانها قد أعطيت للامم وسيدوسون المدينة المقدسة اثنين واربعين شهرا.

Swahili

lakini uache ukumbi ulio nje ya hekalu; usiupime, maana huo umekabidhiwa watu wa mataifa mengine, ambao wataukanyanga mji mtakatifu kwa muda wa miezi arobaini na miwili.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

@sanasiino: أعدمت السعودية خمسة يمنيين في جيزان وتركتهم فرجة للعالم، هؤلاء هم من يحكمون في أراضينا المقدسة.

Swahili

wanaume watano wa ki-yemeni wamenyongwa jana. #ksa https://www.facebook.com/haykal.bafana/posts/469019226511426 … pic.twitter.com/0ncwdxybhc

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Arabic

في عشية احتفالهم في مصر، يذهب الأقباط إلى الكنائس ويحتفلوا بالحدث المقدس.

Swahili

wakati wa mkesha wa sherehe hizo nchini misri, waumini hueelekea makanisani na kusherehekea tukio hilo takatifu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,773,658,380 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK