Results for zaruènik translation from Croatian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Croatian

Swahili

Info

Croatian

"buduæi da je zaruènik okasnio, sve one zadrijemaše i pozaspaše.

Swahili

kwa kuwa bwana arusi alikawia kuja, wale wanawali wote wote walisinzia, wakalala.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

doæi æe veæ dani kad æe im se ugrabiti zaruènik i tada æe postiti u onaj dan!"

Swahili

lakini wakati utafika ambapo bwana harusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

doæi æe veæ dani: kad im se ugrabi zaruènik, tada æe postiti, u one dane!"

Swahili

lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao, na wakati huo ndipo watakapofunga."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

reèe im isus: "ne možete svatove prisiliti da poste dok je zaruènik s njima.

Swahili

yesu akawajibu, "je, mnaweza kuwataka wale walioalikwa arusini wafunge hali bwana arusi yuko pamoja nao?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

"dok one odoše kupiti, doðe zaruènik: koje bijahu pripravne, uðoše s njim na svadbu i zatvore se vrata.

Swahili

basi, wale wanawali wapumbavu walipokwenda kununua mafuta, bwana arusi akafika, na wale wanawali waliokuwa tayari wakaingia pamoja naye katika jumba la arusi, kisha mlango ukafungwa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

nato im isus reèe: "mogu li svatovi postiti dok je zaruènik s njima? dokle god imaju zaruènika sa sobom, ne mogu postiti.

Swahili

yesu akajibu, "walioalikwa harusini wanawezaje kufunga kama bwana harusi yupo pamoja nao? wakati wote wawapo pamoja na bwana harusi hawawezi kufunga.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Croatian

nato im isus reèe: "mogu li svatovi tugovati dok je s njima zaruènik? doæi æe veæ dani kad æe im se ugrabiti zaruènik, i tada æe postiti!"

Swahili

yesu akawajibu, "je, walioalikwa arusini wanaweza kuomboleza wakati bwana arusi yupo pamoja nao? la hasha! lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,920,111,257 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK