Results for abducted translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

abducted

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the also called on their government to expedient action in getting back the abducted high school students from the boko haram terrorists:

Swahili

pia walitoa wito kwa serikali yao kuchukua hatua kuhakikisha kuwa wanafunzi hao wa sekondari waliotekwa nyara na magaidi wa boko haram wanapatikana:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

234 girls between the ages of 16-18 yrs were abducted almost 2 weeks ago in nigeria: #bringourgirlsback.

Swahili

wasichana 234 wenye umri kati ya miaka 16-18 walitekwa nyara takribani wiki mbili zilizopita nchini naijeria: #bringourgirlsback.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a few days ago, the group abducted about 100 girls from the government girls secondary school in chibok, about 130 kilometers west of maiduguri in northeast nigeria.

Swahili

siku chache zilizopita, kundi hili liliwateka nyara wasichana wanaokadiriwa kufikia 100 wa sekondari ya wasichana inayomilikiwa na serikali iliyopo chibok, takribani kilometa 130 magharibi mwa maiduguri kaskazini mashariki mwa nigeria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a recent case took place in saltillo, coahuila, when u.s. anti-kidnapping expert félix batista was abducted by masked gunmen.

Swahili

tukio la karibuni lilitokea katika saltillo, coahuila, wakati mtaalamu wa kuzuia utekaji nyara wa marekani, felix batista alitekwa na watu waliovaa vinyafo usoni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in mid-april, over 200 school girls were abducted from a secondary school, in chibok, nigeria by boko haram, a terrorist group based in the northern region.

Swahili

katikati ya mwezi aprili, zaidi ya wasichana 200 wa shule walitekwa nyara kutoka shule ya sekondari iliyoko eneo la chibok, naijeria, kitendo kinachodaiwa kufanywa na boko haram, kundi la kigaidi lililoko katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"difret" is based on the story of aberash bekele — called hirut in the film — a girl who was abducted by men on horseback outside her rural ethiopian village.

Swahili

filamu ya "difret" inajenga masimulizi yake kwenye tukio la aberash bekele — anayetumia jina la hirut kwenye filamu — msichana aliyekamatwa na wanaume na kutoroshwa kijijini kwa kutumia farasi ili akaolewe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,791,542,321 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK