Results for anchors translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

anchors

Swahili

nanga

Last Update: 2012-06-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and we placed high mountains as anchors in it and gave you sweet water to drink.

Swahili

na ndani yake tukaweka milima mirefu yenye kuthibiti, na tunakunywesheni maji matamu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

then fearing lest we should have fallen upon rocks, they cast four anchors out of the stern, and wished for the day.

Swahili

kwa sababu ya kuogopa kukwama kwenye miamba, waliteremsha nanga nne nyuma ya meli; wakaomba kuche upesi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and he placed mountains as anchors in the earth so that it may not shake along with you, and streams and roads for you to find course.

Swahili

na kaweka katika ardhi milima ili ardhi isiyumbe yumbe nanyi. na mito, na njia ili mpate kuongoka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and we have placed mountains as anchors in the earth so that it may not shake with them; and we kept wide roads in it, so that they may find guidance.

Swahili

na tukaweka katika ardhi milima iliyo thibiti ili isiwayumbishe, na tukaweka humo njia pana ili wapate kuongoka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

or he who made the earth for habitation, and placed rivers within it, and created mountains as anchors for it, and kept a barrier between the two seas?

Swahili

au nani yule aliye ifanya ardhi mahali pa kutua, na akajaalia ndani yake mito, na akaweka milima? na akaweka baina ya bahari mbili kiziwizi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and when they had taken up the anchors, they committed themselves unto the sea, and loosed the rudder bands, and hoised up the mainsail to the wind, and made toward shore.

Swahili

hivyo walikata nanga na kuziacha baharini, na wakati huohuo wakazifungua kamba zilizokuwa zimeufunga usukani, kisha wakatweka tanga moja mbele kushika upepo, wakaelekea ufukoni.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and (how) we have spread the earth, and placed mountains as anchors in it, and have grown all kinds of beautiful pairs in it?

Swahili

na ardhi tumeitandaza na tukaiwekea milima, na tukaiotesha mimea mizuri ya kila namna.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

"(are the idols worthier or) the one who has made the earth a resting place, the rivers flow from its valleys, the mountains as anchors and a barrier between the two seas?

Swahili

au nani yule aliye ifanya ardhi mahali pa kutua, na akajaalia ndani yake mito, na akaweka milima? na akaweka baina ya bahari mbili kiziwizi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

the opposite of the word anchor

Swahili

kinyume cha neno tia nanga

Last Update: 2021-02-11
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,892,217,378 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK