Results for belongeth translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

belongeth

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

say: unto allah belongeth all intercession.

Swahili

sema: uombezi wote uko kwa mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

lo! power belongeth wholly to allah.

Swahili

hakika utukufu wote ni wa mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

aye! the affair belongeth to allah entirely.

Swahili

bali mambo yote ni ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they will say: unto allah (all that belongeth).

Swahili

watasema: (ufalme huo) ni wa mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

unto thy lord belongeth (knowledge of) the term thereof.

Swahili

kwa mola wako mlezi ndio mwisho wake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

unto him belongeth whatsoever resteth in the night and the day.

Swahili

na ni vyake vilio tulia usiku na mchana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

to allah belongeth all that is in the heavens and on earth.

Swahili

na ni vya mwenyezi mungu vyote vilivyomo katika mbingu na vilivyomo katika ardhi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

say (o muhammad): the cause belongeth wholly to allah.

Swahili

sema: mambo yote ni ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and in whatsoever ye differ, the verdict therein belongeth to allah.

Swahili

na mkikhitalifiana katika jambo lolote, basi hukumu yake iko kwa mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

say: unto whom belongeth whatsoever is in the heavens and the earth?

Swahili

sema: ni vya nani viliomo katika mbingu na katika ardhi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

unto allah belongeth whatsoever is in the heavens and whatsoever is in the earth.

Swahili

na ni vya mwenyezi mungu tu vyote viliomo katik mbingu na viliomo katika dunia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

lo! verily unto allah belongeth whatsoever is in the heavens and the earth.

Swahili

jueni kuwa hakika ni vya mwenyezi mungu vilivyomo mbinguni na ardhini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

knowest thou not that to allah belongeth the dominion of the heavens and the earth?

Swahili

hujui kwamba mwenyezi mungu ana ufalme wa mbingu na ardhi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for to allah belongeth the dominion of the heavens and the earth, and all that is between.

Swahili

na mamlaka ya mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake ni vya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and unto allah belongeth the sovereignty of the heavens and the earth, and unto allah is the journeying.

Swahili

na ni wa mwenyezi mungu ufalme wa mbingu na ardhi, na kwa mwenyezi mungu ndio marejeo ya wote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and of a surety there plotted those before them; but unto allah belongeth the plotting entirely.

Swahili

na walipanga walio kuwa kabla yao, lakini mwenyezi mungu ndiye mwenye mipango yote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

him unto whom belongeth the sovereignty of the heavens and the earth; and allah is of all things the witness.

Swahili

ambaye anao ufalme wa mbingu na ardhi; na mwenyezi mungu ni shaahidi wa kila kitu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but if ye disbelieve, still, lo! unto allah belongeth whatsoever is in the heavens and the earth.

Swahili

na mkikakanusha basi hakika viliomo mbinguni na duniani ni vya mwenyezi mungu tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and what aileth you that ye spend not in the way of allah when unto allah belongeth the inheritance of the heavens and the earth?

Swahili

na mna nini hata hamtoi katika njia ya mwenyezi mungu, na hali urithi wa mbingu na ardhi ni wa mwenyezi mungu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah, unto whom belongeth whatsoever is in the heavens and whatsoever is in the earth. and woe unto the disbelievers from an awful doom;

Swahili

naye ni mwenyezi mungu ambaye ni vyake yeye vyote viliomo katika mbingu na ardhi. na ole wao makafiri kwa adhabu kali!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,747,996,864 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK