Results for codes translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

displinary codes

Swahili

kufuata sheria na kanuni za kampuni

Last Update: 2024-04-17
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the extended surveillance has already seen the use of new codes with 3 cases reported.

Swahili

uchunguzi ulioendelezwa tayari umesababisha matumizi ya misimbo mipya huku visa 3 vikiripotiwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

computerized medical records suppliers have within a week of request created new codes to support this.

Swahili

watoa huduma za rekodi za matibabu zinazozalishwa na kompyuta wameunda misimbo mipya ya kusaidia huduma hii ndani ya wiki moja ya kuombwa kufanya hivyo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

additionally, there were no clinical codes to record covid-19 in early february 2020.

Swahili

vilevile, hakukuwa na misimbo ya kimatibabu ya kurekodi covid-19 mapema mwezi februari 2020.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

existing codes that may have utility (tables 1-​-3).3).

Swahili

misimbo iliyopo inayoweza kuwa na huduma muhimu (majedwali ya 1-​-3).3).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

general practice clinical system providers have introduced an emergency new set of clinical codes to support covid-19 surveillance.

Swahili

watoa huduma wa kawaida wa mfumo wa kliniki wamezindua kwa dharura kikundi kipya cha misimbo ya kikliniki ya kusaidia katika uchunguzi wa covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the model of getting the appropriate informatics to enable capture of the required data has already been a success, with data recording starting the week the codes were created.

Swahili

muundo wa kupata maelezo yanayofaa ya kuwezesha kunasa data inayohitajika tayari umefaulu, na rekodi ya data ikiwekwa kuanzia wiki ambayo misimbo iliundwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

thus, it is more critical and practical to isolate b cells from recovered patients and identify the genetic codes encoding effective antibodies or screen for effective antibodies against essential proteins of the virus.

Swahili

hivyo ni muhimu zaidi kutoa seli za b kutoka kwa wagonjwa waliopona na kutambua misimbo ya kijenetiki inayosimbua antibodi faafu au kuchunguza kutafuta antibodi faafu dhidi ya protini muhimu ya virusi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the poll shows, among other things, that somalis want a somalia based on the civil and criminal codes of sharia, a strong central government and are divided over the inclusion of women in government.

Swahili

pamoja na mambo mengine, takwimu za maoni zinaonyesha kwamba, wa-somali wanahitaji somalia itakayozingatia misingi ya “sharia” za kiislamu kwa makosa ya madai na jinai, serikali kuu iliyo imara na (wa-somali) wamegawanyika juu ya hatua za kuwajumuisha wanawake katika muundo wa serikali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

hundreds of people have contributed code to gnome since it was started in 1997; many more have contributed in other important ways, including translations, documentation, and quality assurance.

Swahili

mamia ya watu wameshuhudia kutunga gnome tangu kuundwa kwake mwaka wa 1997; wengine zaidi wamesaidia kwa njia zngine kama utafsiri, kutunga kwa waraka, na ubora wa huduma wa gnomeunknownmonitor vendor

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

Get a better translation with
9,150,123,080 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK