Results for conspired translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

and they conspired an immense conspiracy.

Swahili

na wakapanga vitimbi vikubwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and you were not with them when they put together their plan while they conspired.

Swahili

na hukuwa pamoja nao walipo azimia shauri yao, walipo fanya njama zao wakizua vitimbi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

indeed, this is a conspiracy which you conspired in the city to expel therefrom its people.

Swahili

hizi ni njama mlizo panga mjini mpate kuwatoa wenyewe.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

these are accounts from the unseen, which we reveal to you, and you were not with them when they conspired together and schemed.

Swahili

hizi ni katika khabari za ghaibu tulizo kufunulia. na hukuwa pamoja nao walipo azimia shauri yao, walipo fanya njama zao wakizua vitimbi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

will you not fight against those who have broken their oaths and conspired to banish the messenger? they were the first to attack you.

Swahili

je, hamtapigana na watu walio vunja viapo vyao na wakawa na hamu ya kumfukuza mtume, nao ndio walio kuanzeni mara ya kwanza?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

have you not considered those who were forbidden to conspire, but reverted after a time to what was forbidden them, and conspired evil, rebellion and disobedience to the prophet?

Swahili

kwani huwaoni wale walio katazwa kunong'onezana kisha wakayarudia yale yale waliyo katazwa, na wakanong'ona juu ya mambo ya dhambi, na ya uadui, na ya kumuasi mtume?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the disbelievers conspired (to kill eisa), and allah covertly planned to destroy them; and allah is the best of secret planners.

Swahili

na makafiri walipanga mipango na mwenyezi mungu akapanga mipango, na mwenyezi mungu ndiye mbora wa wenye kupanga.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

those who have gone before them had also conspired; then god uprooted their structure from its foundation; the roof fell over them from above, and punishment came upon them from somewhere they did not suspect.

Swahili

walipanga vitimbi walio kuwa kabla yao, mwenyezi mungu akayasukua majengo yao kwenye misingi, dari zikawaporomokea juu yao, na adhabu ikawajia kutoka wasipo kujua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they say, “we have obeyed”; and when they go away from you, a group of them spend the night conspiring against what they had said; and allah records what they conspired by night; therefore o dear prophet (mohammed – peace and blessings be upon him) avoid them and rely upon allah; and allah is sufficient as a trustee (of affairs).

Swahili

lakini wanapo toka kwako kundi moja miongoni mwao hupanga njama usiku kinyume na unayo yasema. na mwenyezi mungu anayaandika yote hayo wanayo yapangia njama za usiku.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,941,816,459 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK