From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
gastrointestinal symptoms such as nausea, vomiting and diarrhoea have been observed in varying percentages.
dalili kwenye tumbo kama vile kichefuchefu, kutapika, kuhara zimeonekana katika asilimia tofauti.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
interventions that promote hand washing can reduce diarrhoea episodes by about a third, and this is comparable to providing clean water in low income areas.
mikakati inayohimiza watu kuosha mikono inaweza kupunguza vipindi vya kuendesha kwa takribani theluthi moja, na hii inaweza kulinganishwa na kutoa maji safi katika maeneo ya mapato ya chini.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
48% of reductions in diarrhoea episodes can be associated with hand washing with soap.hand washing with soap is the single most effective and inexpensive way to prevent diarrhea and acute respiratory infections (ari), as automatic behavior performed in homes, schools, and communities worldwide.
48% ya kupungua kwa vipindi vya kuendesha inaweza kuhusishwa na kuosha mikono kwa sabuni.kuosha mikono kwa sabuni ni njia moja inayofaa zaidi isiyo na gharama ya juu ya kuzuia kuendesha na maambukizi ya ugonjwa wa kupumua (ari), kama mwenendo wa wa kawaidaunaofuatwa nyumbani, shuleni na katika jamii kote ulimwenguni.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: