Ask Google

Results for difference translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

Why the difference?

Swahili

Kwa nini kuwepo na tofauti kama hiyo?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

If I die, it will not make a difference.

Swahili

Nikifa, hakuna anayejali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

We believe individual choices and actions make a difference.

Swahili

Tunaamini kuwa maamuzi binafsi na vitendo vianasababisha mabadiliko.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

The only difference is, they want to do something about it.

Swahili

Tofauti pekee ni, wanataka kufanya kitu kurekebisha mambo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

It makes no difference whether you ask forgiveness for them or not.

Swahili

Sawa sawa kwao, ukiwatakia maghfira au hukuwatakia maghfira, Mwenyezi Mungu hatawaghufiria.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

It makes no difference whether you call on them or remain silent.

Swahili

Na mkiwaita kwenye uwongofu, hawakufuateni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

In fact, the artificial creation of difference is what fuels all of this.

Swahili

Kwa hakika, tofauti hizi zinazotengenezwa ndizo zinazoharibu mambo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

It makes no difference whether you invite them or whether you keep quiet.

Swahili

Ni mamoja kwenu ikiwa mtawaita au mkinyamaza.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

It makes no difference whether you eat all together or one person at a time.

Swahili

Si vibaya kwenu mkila pamoja au mbali mbali.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And put no difference between us and them, purifying their hearts by faith.

Swahili

Hakufanya ubaguzi wowote kati yetu na wao; aliitakasa mioyo yao kwa imani.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Is there a difference between RZ's approach toward blogging and theirs?

Swahili

Je kuna tofauti katika jinsi ya RZ inavyozichukulia blogu hizo na jinsi vyombo vingine vinavyochukulia?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

We can resolve to make this a year of service and make a real difference in our community!

Swahili

Tunaweza kuazimia kuufanya mwaka huu kuwa mwaka wa kutumikia na hivyo kubadilisha hali kikweli katika jamii yetu!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Each of us can make a small difference and our collective efforts can truly change the world.

Swahili

Kila mmoja wetu anaweza kuleta tofauti chanya, hata kama ni kidogo, na tukiweka zote hizo pamoja tunaweza kweli kuleta mabadiliko ulimwengui.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

But the Hereafter is greater in degrees [of difference] and greater in distinction.

Swahili

Na hakika Akhera ni yenye daraja kubwa zaidi na fadhila kubwa zaidi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Is there a difference between mothers serving terms in correctional facilities and those outside?

Swahili

Je, kuna tofauti kati ya wanawake wanaotumikia kifungo kwenye magereza (ya mafunzo) na wale wanaoishi nje?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Oh well, since they contradict me no matter what I do, what I do makes little difference.

Swahili

Na kweli, kwa sababu inanichanganya hata nifanyeje, kile ninachokifanya haleti tofauti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

There is a big difference between an annoying swarm of bees buzzing around your head a samba dance.

Swahili

Kuna tofauti kubwa kati ya kelele inayoudhi ya nyuki wanaozunguka juu ya kichwa chako na ile ya dansi ya samba.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And He it is Who giveth life and causeth death, and His is the difference of night and day.

Swahili

Na Yeye ndiye anaye huisha na kufisha, na yake Yeye mabadiliko ya usiku na mchana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

It makes no difference to them whether you warn them or do not warn them: they will not believe.

Swahili

Ni sawa sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawataamini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

They replied, "It makes no difference to us whether you preach or do not preach,

Swahili

Wakasema: Ni mamoja kwetu, ukitupa mawaidha au hukuwa miongoni mwa watoao mawaidha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK