Results for distinction translation from English to Swahili

English

Translate

distinction

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

this is an unfair distinction!

Swahili

huo ni mgawanyo wa dhulma!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the distinction of convincing and convincing

Swahili

tofauti ya kushadidia na kushabikia

Last Update: 2024-05-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

one will be told,"to the day of distinction".

Swahili

kwa siku ya kupambanua!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

verily the day of distinction is the term appointed for all of them.

Swahili

hakika siku ya uamuzi ni wakati ulio wekwa kwa wao wote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

abstract the distinction between the affix and the clitic is sometimes not easy

Swahili

ikisiri tofauti baina ya viambishi na viangami baadhi ya wakati si rahisi

Last Update: 2014-11-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and when we gave musa the book and the distinction that you might walk aright.

Swahili

na tulipo mpa musa kitabu na pambanuo ili mpate kuongoka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

we make no distinction between any of them, and to him we submit.”

Swahili

hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

by (the angels) who make a clear distinction between right and wrong

Swahili

na zinazo farikisha zikatawanya!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

we make no distinction between them and we have submitted ourselves to the will of god".

Swahili

hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

[they declare,] ‘we make no distinction between any of his apostles.’

Swahili

hatutafautishi baina ya yeyote katika mitume wake, na (waumini) husema: tumesikia na tumet'ii.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

we make no distinction between any of them. it is to him that we have surrendered ourselves."

Swahili

hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

"we make no distinction (they say) between one and another of his messengers."

Swahili

hatutafautishi baina ya yeyote katika mitume wake, na (waumini) husema: tumesikia na tumet'ii.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and assuredly we vcuchsafed unto musa and harun the distinction and illumination and an admonition for the god-fearing.

Swahili

na kwa yakini tuliwapa musa na haaruni kipambanuzi, na mwangaza, na makumbusho kwa wachamngu,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

each one believes in god and his angels, his books and the prophets, and we make no distinction between the apostles.

Swahili

wote wamemuamini mwenyezi mungu, na malaika wake, na vitabu vyake na mitume wake. hatutafautishi baina ya yeyote katika mitume wake, na (waumini) husema: tumesikia na tumet'ii.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the lord said to moses, "i have given you distinction above the people by speaking to you and giving you my message.

Swahili

(mwenyezi mungu) akasema: ewe musa! mimi nimekuteuwa wende kwa watu na ujumbe wangu na maneno yangu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

as for those who believe in god and his messengers, and make no distinction between any of them—he will give them their rewards.

Swahili

na walio muamini mwenyezi mungu na mitume wake, wala wasimfarikishe yeyote kati yao, hao atawapa ujira wao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

(through the resurrection) god wants to make a clear distinction between right and wrong and make the unbelievers know that they were liars.

Swahili

ili kuwabainishia yale waliyo khitalifiana, na ili wajue walio kufuru kwamba wao walikuwa ni waongo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

god chose (and gave distinction to) adam, noah, the family of abraham, and imran over all the people of the world.

Swahili

hakika mwenyezi mungu alimteuwa adam na nuhu na ukoo wa ibrahim na ukoo wa imran juu ya walimwengu wote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

"behold," the angels told mary, "god had chosen you, purified you, and given you distinction over all women.

Swahili

na angalia pale malaika walipo sema: ewe maryamu! kwa hakika mwenyezi mungu amekuteuwa, na akakutakasa, na akakutukuza kuliko wanawake wote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and know that whatsoever ye obtain of spoils then verily unto allah belongeth a fifth thereof and unto the apostle and unto his kindreds and the orphans and the needy and the wayfarer if ye indeed have believed in allah and that which we sent down on our bondmans on the day of distinction, the day whereon the two hosts met.

Swahili

na jueni ya kwamba ngawira mnayo ipata, basi khums (sehemu moja katika tano) ni kwa ajili ya mwenyezi mungu na mtume, na jamaa, na mayatima, na masikini, na wasafiri, ikiwa nyinyi mmemuamini mwenyezi mungu na tuliyo yateremsha kwa mja wetu siku ya kipambanuo, siku yalipo kutana majeshi mawili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,906,615,660 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK