Results for extension translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

extension

Swahili

huduma ya ugani

Last Update: 2023-09-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

agricultural extension

Swahili

ngonjera ya kilimo

Last Update: 2020-04-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the extension of the

Swahili

kitugani

Last Update: 2022-06-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

example of a salary extension letter

Swahili

mfano wa barua ya kuongezewa mshahara

Last Update: 2024-11-21
Usage Frequency: 4
Quality:

Reference: Anonymous

English

this time, 1malaysia's product extension is where you pee.

Swahili

wakati huu, matunda ya kupanuka kwa malaysia1 yako mahali pa kujisaidia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the report discusses the term limit extension phenomenon in african politics:

Swahili

taarifa inajadili dhana ya kuongeza ukomo wa mihula ya utawala katika siasa za afrika:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

this timeline extension greatly reduces current planning workloads and pressure across the whole organization.

Swahili

kuongezwa kwa muda huu hupunguza pakubwa kazi za sasa za upangaji na shinikizo katika shirika nzima.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the common man's child will then be highly disadvantaged when it comes to university admission and by extension job acquisition.

Swahili

mtoto wa masikini ndiye atakayekuwa mwathirika mkuu utakapokuja wakati wa kujiunga na chuo kikuu na hata pale anapoanza kutafuta kazi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

recently, the united nations granted a one-year extension on its mandate addressing the humans rights situation in cambodia.

Swahili

mshindi wa tuzo ya mwaka 2009 ya frederick douglass - sina vann kutoka free the slaves katika vimeo. hivi karibuni, umoja wa mataifa uliongeza mwaka mmoja zaidi wa mamlaka yake kushughulikia hali ya haki za binadamu nchini cambodia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the rcgp rsc will explore ways to collect convalescent samples from any patients tested positive for covid-19 through the extension of the virological surveillance.

Swahili

rcgp rsc itachunguza njia za kukusanya sampuli kutoka kwa mtu anayepona kutoka kwa wagonjwa wowote waliopatikana na covid-19 kupitia kuendelezwa kwa ufuatiliaji wa kivairolojia.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

at the end of one month of frantic activity, including a week’s extension, over 73 million gallant nigerians had voluntarily participated in the noble cause.

Swahili

na mwisho wa mwezi wa matukio ya haraka haraka, pamoja na kuahirishwa kwa wiki moja, zaidi ya wanaijeria milioni 73 walishiriki kwa hiari katika zoezi hili adili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

so it’s probably the case that presidents who are more likely to succeed self-select into formally initiating public debate on the subject of term limit extension, thereby tilting the balance.

Swahili

kwa hiyo huenda ni kweli kwamba marais wanaweza kufanikiwa kwa kuamua kuanzisa mjadala wa wazi wa suala la kujiongezea muhula wa kutawala, na hivyo kuweka uwiano.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

elsewhere, january makamba, who also happens to be the deputy minister for science and technology, blogging at taifa letu, argued that it is not tanzania, and in extension africa, that needs the us.

Swahili

kwingineko, january makamba, ambaye pia ni naibu waziri wa sayansi na teknolojia, akitoa maoni yake katika blogu ya taifa letu, alisema kuwa, siyo tanzania, na pia afrika yote, inayoihitaji amerika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

(2) extension of current virological surveillance and testing people with influenza-like illness or lower respiratory tract infections (lrti)—with the caveat that people suspected to have or who have been exposed to covid-19 should be referred to the national containment pathway and not seen in primary care.

Swahili

(2) kuendelezwa kwa uchunguzi wa sasa wa kivirolojia na kupima watu walio na ugonjwa unaofanana na homa ya mafua au maambukizi ya njia ya chini ya pumu (lrti)—kwa tahadhari kwamba watu wanashukiwa kuwa au ambao wamekuwa hatarini kupata covid-19 wanapaswa kupaswa kupelekwa katika vituo vya kidhibiti vya kitaifa badala ya kupewa tiba ya kimsingi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
9,155,598,319 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK