Results for goals translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

goals

Swahili

tageti inapelekea kuwa umefikia kiwango au hukufikia

Last Update: 2022-08-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

relationship goals

Swahili

malengo ya uhusiano

Last Update: 2022-02-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

your future goals

Swahili

malengo yako ya baadae

Last Update: 2024-11-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

they wanted goals in regular play.

Swahili

walitaka ushindi ndani ya muda wa kawaida.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

sources revealed that ethiopia will provide a supply of clean water before the millennium development goals deadline

Swahili

vyanzo vinasema kuwa ethiopia itaweza kutoa huduma maji safi ya kunywa kabla ya tarehe ya mwisho ya kufikiwa kwa malengo ya milenia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

while we continue to work and speak as individuals, we also seek to identify and promote our shared interests and goals.

Swahili

huku tukiendelea kufanya kazi na kuongea kama watu binafsi, pia tunataka kutambua na kukuza malengo na maslahi tunayoshirikiana pamoja.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i wish i could go back to school life as i believe something i left behind for life now would help me achieve my goals.

Swahili

natamani nirudi maisha ya shule, kwakua naamini, kuna kitu niliacha, ambacho kwa maisha ya sasa kingenisaidia sana kufikia malengo yangu.

Last Update: 2024-07-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

if one of your goals for this summer was to get (re)acquainted with francophone authors, look no further.

Swahili

kama moja wapo ya malengo yako kiangazi hiki ni kuwafahamu zaidi (au kwa mara nyingine) waandishi wetu wa kifaransa, usihangaike sana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

those whose hearts are perverse, follow the unclear statements in pursuit of their own mischievous goals by interpreting them in a way that will suit their own purpose.

Swahili

hizo ndizo msingi wa kitabu hichi. na ziko nyengine za mifano.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i hope all of us healthy adults, i see the salary today is out so on friday we meet for the purchase of dear shares, very soon for the goals and interests of all in the group

Swahili

natumai wote tuwazima wa afya, naona mshahara leo umetoka kwahiyo ijumaa tukutane kwa ajili ya ununuzi wa hisa wapendwa, karibuni sana kwa malengo na maslahi ya wote kwenye kikundi

Last Update: 2023-02-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

finally, almost 50 percent of women have access to some means of contraception .... this makes rwanda one of the very few african countries that will have almost entirely achieved its millennium development goals in 2015.

Swahili

mwishoni, takribani asilimia 50 ya wanawake wanapata huduma za uzazi wa mpango...hii ikiwa na maana kuwa rwanda ni moja ya nchi chache za afrika ambazo zinakaribia sana kufikia malengo ya milenia mwaka 2015.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a goal without a plan is just a dream

Swahili

lengo bila mpango ni hamu tu

Last Update: 2020-03-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,874,658,731 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK