Results for governor translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

governor

Swahili

gavana

Last Update: 2012-07-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

they said, “o governor!

Swahili

wakasema: ewe mheshimiwa! huyu anaye baba mzee sana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

to the governor of the province

Swahili

mkoa

Last Update: 2024-02-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

protest infront of governor house lahore.

Swahili

maandamano mbele ya nyumba ya gavana wa lahore.

Last Update: 2024-02-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the governor of north kivu has apparently also left town.

Swahili

gavana wa kivu ya kaskazini pia ameukimbia mji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

nigeria: nigerian governor on twitter · global voices

Swahili

naijeria: gavana wa kinaijeria kwenye twita

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the governor’s wife then said, “now the truth is out.

Swahili

mke wa mheshimiwa akasema: sasa haki imedhihiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

claudius lysias unto the most excellent governor felix sendeth greeting.

Swahili

"mimi klaudio lusia ninakuandikia wewe mheshimiwa felisi, mkuu wa mkoa. salamu!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

i thank the governor and the senate for the opportunity to reaffirm this commitment.

Swahili

ninamshukuru gavana na baraza la seneta kwa fursa ya kuthibitisha kujitolea kwangu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

then when they reached in the company of yusuf they said, “o governor!

Swahili

basi walipo ingia kwa yusuf walisema: ewe mheshimiwa! imetupata shida, sisi na watu wetu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

nigerian governor kayode fayemi is on twitter, nigerian blogger lord banks reports.

Swahili

gavana wa kinaijeria kayode fayemi yumo kwenye twita, mwanablogu wa naijeria lord banks anaripoti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and if this come to the governor's ears, we will persuade him, and secure you.

Swahili

na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa ninyi hamtapata matatizo."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and when they had bound him, they led him away, and delivered him to pontius pilate the governor.

Swahili

wakamfunga pingu, wakamchukua, wakamkabidhi kwa pilato, mkuu wa mkoa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

a few days ago the governor sent messages over twitter that the protestors are now using to accuse him of inciting violence .

Swahili

siku chache zilizopita gavana huyo alituma twiti kwenye mtandao wa twita kwamba waandamanaji sasa wamezoea kumtuhumu kwa kuanzisha mapigano .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

"put quetta city under the control of pakistan army and invoke governor's rule."

Swahili

"jiji la quetta liwekwe chini ya uangalizi wa jeshi na iwe kama sheria ya utawala."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

certain women in the city said: 'the governor's wife has sought to seduce her servant.

Swahili

na wanawake wa mjini wakawa wanasema: mke wa mheshimiwa anamtamani mtumishi wake!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the former governor claimed the accounts were all fake profiles orchestrated by a specific group to disseminate lies and criticism about him and his campaign.

Swahili

gavana huyo wa zamani alidai anuani hizo za twita ni bandia zinazoendeshwa na kundi la watu wenye lengo la kusambaza uongo na upinzani dhidi yake na kampeni zake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

now: governor orrego says "there haven't been any incidents" during the student march.

Swahili

sasa: gavana orrego anasema, "hapakuwa na matukio yoyote" wakati wa maandamano ya wanafunzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

then, when they entered into his presence, they said, “mighty governor, adversity has befallen us, and our family.

Swahili

basi walipo ingia kwa yusuf walisema: ewe mheshimiwa! imetupata shida, sisi na watu wetu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

contrary to what our allies may think, i've decided to think that this historic moment does not come to us courtesy of governor alejandro garcía padilla.

Swahili

kinyume na kile washirika wetu wanavyodhani, nimeamua kufikiri kwamba tukio hili la kihistoria halijatokea kwa nguvu za gavana alejandro garcía padilla.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,891,374,007 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK