Results for how to use your voice to bring fo... translation from English to Swahili

English

Translate

how to use your voice to bring forth results

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

how to use the generator

Swahili

jinsi ya kutumia generator

Last Update: 2018-04-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

say: 'have you any knowledge, for you to bring forth for us?

Swahili

sema: je, nyinyi mnayo ilimu mtutolee? nyinyi hamfuati ila dhana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

sorry to use your whspp number

Swahili

samahani nitumie namba yako ya whspp

Last Update: 2023-12-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i need to know how to use an online computer.

Swahili

nilikuwa naitaji nijuwe jinsi ya kutumia kozi ya online ya komputa

Last Update: 2024-01-23
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

English

the who has issued instructions on when and how to use masks.

Swahili

who imetoa maagizo ya wakati na jinsi ya kutumia barakoa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

who has made the earth a bed for you and the sky a dome, and has sent down water from the sky to bring forth fruits for your provision.

Swahili

(mwenyezi mungu) ambaye amekufanyieni hii ardhi kuwa kama tandiko, na mbingu kama paa, na akateremsha maji kutoka mbinguni, na kwayo akatoa matunda yawe riziki zenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

for when we were in the flesh, the motions of sins, which were by the law, did work in our members to bring forth fruit unto death.

Swahili

maana, tulipokuwa tukiishi kimaumbile tu, tamaa mbaya zikichochewa na sheria, zilifanya kazi katika miili yetu, na kuchuma pato la kifo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

furthermore, displaced family members overseas may not know how to use these facilities.

Swahili

zaidi ya hivyo, wanafamilia waliopoteza makazi walioko ng’ambo wanaweza kuwa hawajui kutumia vifaa hivi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

@mohsinsayeed (mohsin sayeed): raise your voice to save lives of rifta&her family.

Swahili

@mohsinsayeed (mohsin sayeed): paza sauti yako ili kumuokoa rifta na familia yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

every day he has a matter to bring forth (such as giving honour to some, disgrace to some, life to some, death to some, etc.)!

Swahili

kila siku yeye yumo katika mambo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

looking at her current blog posts, one can indeed see that nyota has known quite well how to use the blogging tool.

Swahili

kwa kuangalia kwenye posti za hivi karibuni kwenye blogu yake, kwa hakika mtu anaweza kuona kuwa nyota amefahamu vizuri sana kutumia vyenzo za kublogu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

allah sets forth another parable: there are two men, one of whom is dumb and has no power over anything; he is a burden to his master, and wheresoever his master directs him, he fails to bring forth any good.

Swahili

na mwenyezi mungu anapiga mfano wa watu wawili. mmoja wao ni bubu, hawezi chochote, naye ni mzigo kwa bwana wake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

our aim, put very simply, was to discuss how "to use blogging and blog tools to help people in different countries hold more meaningful and direct conversations with each other."

Swahili

lengo letu, tukiliweka kirahisi, lilikuwa kujadili jinsi ya “kutumia kublogu na zana za kublogu ili kuwasaidia watu katika nchi tofauti kufanya mazungumzo yenye maana na ya moja kwa moja baina yao.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and when you said: o musa! we cannot bear with one food, therefore pray lord on our behalf to bring forth for us out of what the earth grows, of its herbs and its cucumbers and its garlic and its lentils and its onions.

Swahili

na mlipo sema: ewe musa! hatuwezi kuvumilia chakula cha namna moja tu, basi tuombee kwa mola wako mlezi atutolee vile vinavyo mea katika ardhi, kama mboga zake, na matango yake, na thom zake, na adesi zake, na vitunguu vyake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

call on your lord to bring forth for us some of the produce of the earth, green herbs and cucumbers, corn, lentils and onions' 'what' he answered, 'would you exchange that which is lesser for what is better?

Swahili

hatuwezi kuvumilia chakula cha namna moja tu, basi tuombee kwa mola wako mlezi atutolee vile vinavyo mea katika ardhi, kama mboga zake, na matango yake, na thom zake, na adesi zake, na vitunguu vyake. akasema: mnabadili kilicho duni kwa kilicho bora?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

here are some online resources that people are using to get in touch with each other: person finder from google facebook page to share info gigazine has an article with screenshots that teach how to use the emergency messaging service that’s been set up by the phone companies.

Swahili

zifuatazo ni nyenzo zilizo kwenye mtandao ambazo watu wanazitumia ili kuwasiliana na wenzao: nyenzo ya kusaidia kumtafuta mtu kutoka google ukurasa wa facebook ili kutumiana taarifa gigazine walikuwa na makala ya kijapani yenye picha zinazofundisha namna ya kutumia huduma ya ujumbe mfupi wakati wa dharura ambayo iliwekwa na makampuni ya simu za mkononi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and [recall] when you said, "o moses, we can never endure one [kind of] food. so call upon your lord to bring forth for us from the earth its green herbs and its cucumbers and its garlic and its lentils and its onions."

Swahili

na mlipo sema: ewe musa! hatuwezi kuvumilia chakula cha namna moja tu, basi tuombee kwa mola wako mlezi atutolee vile vinavyo mea katika ardhi, kama mboga zake, na matango yake, na thom zake, na adesi zake, na vitunguu vyake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

a) no we understood how to use a computer b) no we understood how to use an hour c) no we understand the subject more, we get a lot of learning expectations d) yes, a loss e) yes, when a teacher enters a classroom we understand the subject he is teaching f) yes because it is a lot of things, we understand it in geometry g) yes because we understand using tehama remains h) no allows us to understand what kind of teacher he came up with i) no because it has brought me help to do math and hain

Swahili

a) hapana tulielewa jinsi ya kutumia tarakilishi b) hapana tulielewa jinsi ya kutumia saa c) hapana kuelewa zaidi hilo somo,kupata matarajio mengi ya kujifunza d) ndiyo, hasara e) ndiyo, mwalimu anapoingia darasani tunaelewa somo analofundisha f) ndiyo kwa sababu tehama ni vitu vingi,tunaelewa katika mada ya jiometri g) ndiyo kwa sababu tunaelewa akitumia tehama vibaki h) hapana hutuwezesha kuelewa tehama ya mwalimu aliokuja nayo i) hapana kwa sababu kalkuleta inanisaidia kufanya hesabu na hain

Last Update: 2022-10-21
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,799,959,484 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK