Results for insufficient translation from English to Swahili

English

Translate

insufficient

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

an insufficient social protection system

Swahili

mfumo wa hifadhi ya jamii usiokidhi haja

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

like many other african countries, cameroon suffers from insufficient electricity supplies.

Swahili

kama ilivyo katika nchi nyingi za kiafrika, cameroon inataabika na ugavi duni wa umeme nishati ya umeme.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

by march, shortages and insufficient amounts of reagent has become a bottleneck for mass testing in the eu and uk and the us.

Swahili

kufikia machi, upungufu na viwango duni ya zana za vipimo imekuwa changamoto kwa kupimwa kwa umma eu na uingereza na marekani.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

thousands of people are demonstrating on the streets to protest against low salaries, the high cost of living and an insufficient state safety net.

Swahili

maelfu ya watu wameingia mitaani kuandamana kupinga mishahara duni, gharama kubwa za maisha na hali ya usalama wa nchi isiyoridhisha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

given that the global supply of ppe is insufficient, who recommends minimizing the need for ppe through telemedicine, physical barriers such as clear windows, allowing only those involved in direct care to enter a room with a covid-19 patient, using only the ppe necessary for the specific task, continuing use of the same respirator without removing it while caring for multiple patients with the same diagnosis, monitoring and coordinating the ppe supply chain, and discouraging the use of masks for asymptomatic individuals.

Swahili

kwa kuwa upatikaji wa kimataifa wa ppe hautoshi, who inapendekeza kupunguza mahitaji ya ppe kupitia uhamishaji pepe wa maelezo ya kimatibabu, vikwazo vya kimwili kama vile madirisha angavu, ili kuruhusu wale wanaohusika tu katika huduma ya moja kwa moja kuingia chumba cha mgonjwa wa covid-19, kwa kutumia pekee ppe muhimu kwa kazi hiyo mahsusi, kuendelea kutumia mashine hiyo ya kusaidia kupumua bila kuiondoa huku ukiwahudumia wagonjwa kadhaa walio na utambuzi huo mmoja, kufuatilia na kuratibu safu ya ugavi ya ppe, na kutohimiza matumizi ya barakoa kwa watu walio na dalili.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,874,338,504 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK