Results for intimidated translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

intimidated

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

instead of backing down, zunar refuses to be intimidated.

Swahili

badala ya kurudi nyuma, zunar amegoma kutishika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

arles briefly explains the situation and says he believes he has been intimidated by the largest brazilian newspaper:

Swahili

arles anaeleza hali ya mambo kwa ufupi na kusema kwamba anaamini ametishiwa na gazeti lililo kubwa zaidi nchini brazili:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and when they threw, they beguiled the eyes of the people, and intimidated them, and produced a mighty magic.

Swahili

basi walipo tupa waliyazuga macho ya watu na wakawatia khofu, na wakaleta uchawi mkubwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

those who raise their voices against these abuses are frequently jailed, tortured, raped, and otherwise intimidated by government security forces.

Swahili

wale waliopaza sauti zao dhidi ya unyanyasaji wa aina hii wameendelea kukamatwa na kuwekwa kizuizini, wanateswa, wanabakwa na vinginevyo kutishwa na vikosi vya kijeshi vya serikali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

investigative journalist and film maker stanley kwenda (@stanleykwanda) noted that participation of police could have intimidated illiterate voters:

Swahili

mwandishi wa habari za uchunguzi na mtengenezaji wa filamu stanley kwenda (@stanleykwanda) alibainisha kuwa ushiriki wa polisi inawezekana uliwatisha wapiga kura wasio na uelewa:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

people came out to vote, voted, and even waited for the votes to be counted, without being intimidated by gun-trotting hoodlums, as was the case 2007.

Swahili

watu walikuja kupiga kura, na wakasubiri kura zihesabiwe, bila ya kubugudhiwa na wahuni wenye bunduki, kama ilivyokuwa mwaka 2007.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

#zimbabwedecides involvement of police & electoral officers in assisting illiterate voters could have intimidated voters — stanley kwenda (@stanleykwenda) august 2, 2013

Swahili

#zimbabwedecides kuhusishw akwa polisi kama & maafisa wa uchaguzi katika kuwasaidia wapiga kura wasio na uelewa inawezekana kuliwatisha wapiga kura hao — stanley kwenda (@stanleykwenda) august 2, 2013

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,763,386,402 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK