From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
joint account
akaunti ya pamoja
Last Update: 2019-11-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
summary of the joint session
ajenda zilizojadilwa
Last Update: 2019-11-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sugarcane is sweetest at the joint.
tamu ya mua kifundo
Last Update: 2019-02-05
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
but he did not venture to scale the difficult steep.
lakini hakujitoma kwenye njia ya vikwazo vya milimani.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
so strike their necks, and strike their every limb joint!’
basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
do not venture ahead of allah and his apostle, and be wary of allah.
msitangulie mbele ya mwenyezi mungu na mtume wake, na mcheni mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a former tvb reporter au ka lun explained how the tvb newsroom operates after he read the joint statement:
mwandishi wa zamani wa tvb au ka lun alieleza namna chumba cha habari cha tvb kinavyofanya kazi baada ya kusoma tamko hilo la pamoja:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
so smite them on their necks and every joint, (and incapacitate them),"
basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
a politician looting is a crime, christianity is not a business venture, dominion airline is something massive!
“dili” za kisiasa ni kosa, ukristo si biashara, shirika la ndege la dominion ni kitu kikubwa!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the next day, 28 staff members from the newsroom issued a joint statement expressing regret over the management's decision.
siku iliyofuata, watumishi 28 wa chumba cha habari walitoa tamko la pamoja wakionesha kusikitishwa na uamuzi huo wa utawala wa chombo hicho cha habari.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
more than 50 human rights and media organizations issued a joint statement last week, claiming the government has threatened the press in advance of the forthcoming elections.
zaidi ya asasi 50 za haki za binadamu na vyombo vya habari vilitoa tamko la pamoja wiki iliyopita, vikidai kwamba serikali imevitishia vyombo vya habari mapema kabla ya uchaguzi unaotarajiwa kufanyika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
(if you so venture) a flame of fire and smoke shall be lashed at you, which you shall be unable to withstand.
mtapelekewa muwako wa moto na shaba; wala hamtashinda.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
from whom the whole body fitly joined together and compacted by that which every joint supplieth, according to the effectual working in the measure of every part, maketh increase of the body unto the edifying of itself in love.
chini ya uongozi wake, viungo vyote vya mwili hushikamana pamoja, na mwili wote hutegemezwa kwa msaada wa viungo vyake. basi, kila kiungo kikitekeleza kazi yake ipasavyo, mwili wote hukua na kujijenga katika upendo.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and they hated to strive with their wealth and their lives in god’s way. and they said, “do not venture out in the heat.”
na walichukia kupigana jihadi kwa mali zao na nafsi zao, na wakasema: msitoke nje katika joto!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
aid groups including save the children, world vision and the red cross disaster fund (which is separate from the international committee), issued a joint statement also opposing evacuations and adoptions.
makundi ya kutoa msaada pamoja na save the children, world visison na mfuko wa shirika la msalaba mwekundu wa majanga (ambalo ni tofauti na kamati ya kimataifa), yalitoa tamko la pamoja kupinga kuchukuliwa kwa watoto pamoja na kuwaasili.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in terms of section 28(1) of the tax administration act nam.7 of 2009, the zanzibar revenue authority (zra) is inviting a joint session between the zanzibar revenue authority (zra) and the leadership of the pan africa development company(paddco). authorities are asking you to reach his office in the northern province of zanzibar district office, on 13/05/2024 at 5:00 am without missing. your arrival is the success of the session.
kwa mujibu wa kifungu cha 28(1) cha sheria ya usimamizi wa kodi nam.7 ya mwaka 2009.mamlaka ya mapato zanzibar (zra) inatoa mualiko wa kikao cha pamoja baina ya mamlaka ya mapato zanzibar (zra) na uongozi wa pan africa development company(paddco). mamlaka inakuomba kufika katika ofisi yake ya mkoa wa kaskazini unguja ofisi ya kiwengwa , mnamo tarehe 13/05/2024 saa 5:00 asubuhi bila ya kukosa. kufika kwako ndio mafanikio ya kikao hicho.
Last Update: 2024-05-09
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: