Results for kabila translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

kabila kabila

Swahili

weewe maisha ni bure kabisa

Last Update: 2024-08-17
Usage Frequency: 1
Quality:

English

wewe ni kabila gani

Swahili

Last Update: 2024-03-09
Usage Frequency: 1
Quality:

English

d.r. of congo: congolese diaspora erupts against kabila

Swahili

kongo (drc): wakongo waishio nje ya nchi walipuka kumpinga kabila

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the mushaki pager wonders what made kabila take such a strong stance:

Swahili

ninashangaa kwamba kabila alitamka wazi kuwa hakuna hati ya kukamkamata nkunda.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

joseph kabila took power in 2001 following the assassination of his father laurent kabila.

Swahili

joseph kabila alitwaa madaraka mwaka 2001 kufuatia kuuawa kwa baba yake laurent kabila.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

d.r. of congo: congolese diaspora erupts against kabila · global voices

Swahili

kongo (drc): wakongo waishio nje ya nchi walipuka kumpinga kabila

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in it, kabila talks about rwanda, africom, chinese investment, and his passion for motorcycles.

Swahili

katika mahojiano hayo, kabila anaongelea kuhusu rwanda, africom, uwekezaji wa china, na upenzi wake wa pikipiki.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the congolese blogosphere had harsh criticism for congolese president joseph kabila's recent interview in the new york times.

Swahili

ulimwengu wa wanablogu wa kikongo ulijaa shutuma kali dhidi ya mahojiano ya hivi karibuni ya rais wa kongo, joseph kabila kwenye gazeti la new york times.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

d.r. of congo: furor over kabila's new york times interview · global voices

Swahili

jamhuri ya kidemokrasi ya kongo: mahojiano na kabila yaamsha gadhabu

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

kabila seeks to indirectly extend his term, which is coming to an end next year, by organizing a census that would take 3 years to complete.

Swahili

kabila anaonekana kutumia mbinu zisizo za moja kwa moja kutafuta kugombea muhula mwingine wa urais katika uchaguzi wa unaotarajiwa kufanyika mwakani, kwa kuandaa sensa ambayo kwa kawaida huchukua miaka mitatu kukamilika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we denounce, accuse and complain against these officials for their support and involvement in the joseph kabila government that the congolese have rejected during the november 28, 2011 elections.

Swahili

tunawapinga, tunawalaumu na kuwalalamikia hawa maafisa kwa kumwunga mkono na kujihusisha na serikali ya joseph kabila ambayo wa-kongo wameikataa kwenye uchaguzi wa novemba 28.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

kabila blames corruption on mobutu's legacy and the ineptitude of his own officials, rather than taking responsibility for his government's problems:

Swahili

kabila anailaumu rushwa na kuutupa mpira kwenye utawala wa mobutu na udhaifu wa maofisa wake yeye mwenyewe, badala ya kukubali wajibu wa matatizo ya serikali yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

although they weren't granted the possibility to vote in the past presidential and parliamentary elections, they protested to bring awareness to the situation in their country and in some cases to protest the results of the elections and to demand the departure of president kabila.

Swahili

ingawa hawakupewa haki ya kupiga kura katika uchaguzi uliopita wa rais na wabunge, waliandamana kwa lengo la kuifanya dunia kutambua hali inavyoendelea nchini mwao na kwa matukio mengine kupinga matokeo ya uchaguzi na kudai kuondoka kwa rais kabila.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,653,274,690 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK