Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
many different hand dryer manufacturers exist, and hand driers have been compared against drying with paper towels.
kunao watengenezaji wengi wa bidhaa za kupangusa mikono maji, na bidhaa hizi za kukausha mikono zimelinganishwa dhidi ya kutumia tishu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
due to capacity limitations in the standard supply chains, some digital manufacturers are printing healthcare material such as nasal swabs and ventilator parts.
kwa sababu ya vizuizi vya uwezo katika msururu wa ugavi wa kawaida, baadhi ya watengenezaji wa kidijitali wanachapisha vifaa vya huduma ya afya kama vile visafisha pua na sehemu za uingizaji wa hewa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
manufacturers must optimize the process they use to make the chemical so they can scale up from a medicinal chemist producing milligrams, to manufacturing on the kilogram and ton scale.
lazima watengenezaji waboreshe mchakato wanaotumia wa kutengeneza kemikali ili waweze kuongezea kemia ya dawa inayotoa miligramu, hadi kutengeneza kwa kilogramu na kiwango cha tani.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
six garment manufacturers were operating from the third to the eight floor of the structure in savar and at least five thousand people were inside the crowded building when it caved in on the morning of april 24, 2013.
watengenezaji sita wa nguo walikuwa wakiendelea na kazi katika ghorofa ya tatu hadi ya nane ya jengo hilo huko savar na watu wasiopungua elfu tano walikuwa ndani ya jengo lililokuwa na msongamano mkubwa wa watu wakati lilipoanguka asubuhi ya tarehe 24, aprili 2013.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
when the illegal raw ivory is successfully smuggled to mainland china via hong kong, it is wholesaled to carvers and manufacturers, turned into luxurious products and circulated in the domestic market through both licensed businesses and underground black market.
wakati bidhaa haramu za pembe za ndovu zikiingizwa china kupitia hong kong, zinanunuliwa kwa jumla na wazalishaji wa vito pamoja na wabunifu, na kugeuzwa kuwa bidhaa za thamani na kuingizwa kwenye mzunguko katika soko la ndani kupitia biashara zenye leseni na hata kwenye soko bubu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
at the time, chenge was under investigation by the british government's serious fraud office for corruption involving the british arms manufacturer bae.
kwa wakati huo, chenge alikuwa akichunguzwa na taasisi ya kuchunguza makosa makubwa ya jinai nchini uingereza (sfo) kufuatia kutuhumiwa kwa kosa la rushwa iliyohusisha kampuni ya kiingereza ya bae.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: