Results for millionaire translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

millionaire

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

slumdog millionaire does that admirably.

Swahili

filamu ya slumdog millionaire imefanya vizuri sana kwenye jambo hili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

india: slumdog millionaire sweeps the oscar awards · global voices

Swahili

india: filamu ya slumdog millionaire yanyakua tuzo za oscar

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but many indian bloggers were tepid in acknowledging the feat of 'slumdog millionaire'.

Swahili

lakini wanablogu wengi wa kihindi waliupokea ushindi wa slumdog millionaire kwa furaha ya wastani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

lekhni at the imagined universe tries to find "why do indians hate slumdog millionaire?"

Swahili

lekhni wa the imagined universe anajaribu kupata sababu ya kwa nini wahindi wanaichukia filamu ya slumdog millionaire:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

for one, slumdog millionaire very deliberately and very effectively strikes many of the chords that academy judges have been known to have a soft spot for.

Swahili

sababu moja, filamu ya slumdog millionaire kwa makusudi na kwa ufanisi mkubwa inagusa hisia ambazo waamuzi wa tuzo hiyo wanajulikana kuwa nazo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a parody photomontage of president gjorge ivanov participating in the macedonian version of the popular television quiz “who wants to be a millionaire”.

Swahili

picha ya maigizo ya rais gjorge ivanov akishiriki kwenye shindano maarufu la chemshabongo ya televisheni nchini macedonia “nani anataka kuwa milionea”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

danny boyle's slumdog millionaire, a british social film based on a novel set out in india made a clean sweep at the the 81st academy awards ceremony.

Swahili

filamu ya danny boyle, slumdog millionaire, iliyotokana na kitabu chenye maudhui ya india imefanya vyema katika sherehe za 81 za tuzo ya academy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a section of the 'slumdog millionaire' casts in hollywood- photo by flickr user kaushik™, used under a creative commons license

Swahili

sehemu ya waigizaji wa filamu ya slumdog millionaire wakiwa hollywood - picha kwa hisani ya mtumiaji wa twita kaushik™,kwa idhini ya hati miliki za umma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

slumdog millionaire is nowhere near the a-list of bollywood movies given it’s simple tried-and-tested theme of love over money.

Swahili

slumdog millionaire haiwezi kuzikaribia filamu za orodha-a za bollywood ukichukulia uzoefu wake katika maudhui ya mapenzi yanayoshinda fedha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in india movie stars and filmmakers wield enormous influence and that point was drawn dramatically by danny boyle in the movie slumdog millionaire (hint: it is the toilet scene).

Swahili

waigizaji na watengenezaji filamu maarufu nchini india wana ushawishi mkubwa, na ukweli huo ulidhihirishwa na danny boyle katika filamu ya slumdog millionaire (dokezo: kwenye igizo la chooni).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

despite feeling that slumdog millionaire shouldn’t be viewed as a defining film about indian poverty, it’s been exciting to see india in the limelight after the movie’s 8 oscar wins.

Swahili

pamoja na hisia kwamba filamu ya slumdog millionaire haitakiwi kuchukuliwa kama filamu kielelezo ya umasikini wa wahindi, imekuwa ni jambo la kusisimua kuiona india ikiwa katika mwangaza baada ya filamu hiyo kunyakua tuzo 8 za oscar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,793,579,748 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK