Results for modify translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

modify buddy pounce

Swahili

pounce on whom

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

English

for example, the acquisition or loss of novel protein-coding genes has the potential to drastically modify viral phenotypes.

Swahili

kwa mfano, kupata au kupoteza jeni mpya inayosimba protini kuna uwezekano wa kubadilisha haraka sampuli ya virusi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

around 24 january 2020 in australia, the university of queensland announced that it is investigating the potential of a molecular clamp vaccine that would genetically modify viral proteins in order to stimulate an immune reaction.

Swahili

mnamo 24 januari 2020 nchini australia, chuo kikuu cha queensland kilitangaza kwamba kinafanya uchunguzi wa uwezekano wa chanjo ya kunata molekuli inayoweza kubadilisha kijenetiki protini za virusi ili kuchochea kinga ya mwili.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we let them know that we understood that our request for cancellations and other restrictions could make it impossible to complete their agreed-upon grant activities and that no one would be penalized for having to delay or modify those goals.

Swahili

tuliwafahamisha kwamba tunaelewa kwamba ombi letu la kughairisha na vikwazo vingine vinaweza kuifanya iwe vigumu kukamilisha shughuli zao zilizokubaliwa za ruzuku na kwamba hakuna yeyote ataadhibiwa kwa kuchelewesha au kurekebisha malengo hayo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

because you have not linked your google account, we have created your account and username below. we've done everything we can to give you the username you use youtube in google, but in other words that username did exist, and so we had to modify yours a bit. please click on the link below to complete the installation and enable your new account.

Swahili

kwa sababu hujaunganisha akaunti yako ya google, tumebuni akaunti yako na jina la mtumiaji hapo chini. tumefanya kila tuwezalo kukupa jina hilo la mtumiaji unalotumia youtube katika google, lakini katika maneno mengine jina hilo la mtumiaji lilikuwepo, na kwa hivyo ilitubidi kurekebisha lako kidogo. tafadhali bofya kwenye kiungo hapo chini kumaliza kuingiza na kuwezesha akaunti yako mpya.

Last Update: 2022-02-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,899,294,923 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK