Results for murder translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

murder

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

there are no arguments to justify murder.

Swahili

hakuna maelezo yoyote ya kuthibitisha mauaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

murder is the only acceptable resolution in this case.

Swahili

ni hofu kubwa kwa mauaji na huzuni kuu kwa wahanga:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

somebody needs to be tried for murder. #chappra

Swahili

kunamtu anapaswa kushitakiwa kwa kosa la mauaji. #chappra

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the sin of disbelief in god is greater than committing murder.

Swahili

wala msipigane nao kwenye msikiti mtakatifu mpaka wakupigeni huko.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

diplomatic crisis erupts after indian student's murder

Swahili

matatizo ya kidiplomasia yazuka baada ya mauaji ya mwanafunzi wa kihindi

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

tragic murder puts spotlight back on safety of indians in australia

Swahili

mauaji ya kusikitisha yarudisha mwangaza juu ya usalama wa wahindi nchini australia

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

are we going to allow this attempted murder to go unpunished?

Swahili

tutaendelea kuvumilia mauaji ya aina hii yaendelee?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

ahmad khalil is surprised at the way people are reasoning murder:

Swahili

ahmad khalil anashangazwa na jinsi watu wanavyoyachukulia mauaji:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

ibrahim elgarhi is shocked at those who excuse the murder of women.

Swahili

ibrahim elgarhi anashangazwa na wote wanaowahurumia wauaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

repeating islands reports on the murder of four haitians in the dominican republic.

Swahili

repeating islands anaripoti kuhusu mauaji ya wahaiti wanne katika jamhuri ya dominica

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this brutal rape and murder once again has spread anger and rage across the country.

Swahili

ukatili huu wa ubakaji na mauaji kwa mara nyingine tena umeshaeneza hasira na vurugu nchini kote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

will he publicly condemn the murder and say that actually doing it is not what he meant?

Swahili

je atayashutumu hadharani mauaji hayo na kusema kuwa hicho sicho alichomaanisha?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@gemyhood: this is a presenter at the egyptian television happy at the murder of shia

Swahili

@gemyhood: huyu ni mtangazaji wa televisheni ya taifa ya misri akifurahia mauaji ya waumini wa shia

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and his soul permitted to him the murder of his brother, so he killed him and became among the losers.

Swahili

basi nafsi yake ikampelekea kumuuwa nduguye, akamuuwa na akawa miongoni mwa wenye kukhasirika.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

why do you arrogantly belie some messengers and murder others whenever they have brought you messages that you dislike?

Swahili

basi kila walipo kufikieni mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a screenshot of a tweet by mohammed saber, an anchor at an egyptian television celebrating the murder of shia in egypt.

Swahili

picha iliyopigwa kutoka kwenye twiti iliyowekwa na mohammed saber, ambaye ni mtangazaji na msimamizi wa matangazo katika televisheni ya misri akisherehekea mauaji ya waumini wa shia waishio misri.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

five yemenis convicted of murder and robbery were executed in saudi arabia and their bodies displayed in public in the southwestern town of jizan.

Swahili

watu watano wa yemeni waliokuwa wametiwa hatiani kwa mauaji na ujambazi walinyongwa kwa kukatwa vichwa vyao nchini saudia arabia na miili yao kutundikwa hadharani katika mji wa jizan ulio kusini magharibi mwa nchi hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(muhammad) ask them, "why did you murder god's prophets if you were true believers?"

Swahili

na hali ya kuwa hii ndiyo haki inayo thibitisha yale waliyo nayo wao. sema: mbona mliwauwa manabii wa mwenyezi mungu hapo zamani ikiwa kweli mlikuwa waumini?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

blogger mohamed beshir shares a tweet by a presenter at the egyptian television named mohammed saber, who is celebrating the murder of the shia and calling for more deaths.

Swahili

mwanablogu mohamed beshir aweka twiti ya mtangazaji wa televisheni ya misri ajulikanaye kwa jina la mohammed saber, ambaye anasherehekea mauaji ya waumini wa shia na kutaka wengine zaidi wa shia wauawe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

murder, armed robbery, drug trafficking, rape, and apostasy are capital offenses under the kingdom's muslim sharia law.

Swahili

mauaji, ujambazi wa kutumia silaha, usafirishaji wa madawa ya kulevya, ubakaji, na kufuru za kidini ni makosa yanayoongoza chini ya sharia ya dini inayotumika katika nchi hiyo ya kiislamu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,770,577,701 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK