From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
if you can't find a way back to your country, contact your nearest embassy or consulate for assistance.
ikiwa huwezi kupata njia ya kurudi nchi yako, wasiliana na balozi ulio karibu na wewe ili upate msaada.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
but if you are sick or on a journey or when you have just relieved yourselves, or you have consorted with your spouses, you can find no water, take some clean sand and rub your faces and hands with it.
na mkiwa wagonjwa au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni au mmewagusa wanawake, na hamkupata maji, basi tayamamuni vumbi lilio safi, na mpake nyuso zenu na mikono yenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
if you are defiled, purify yourselves; but if you are sick or on a journey, or if any of you comes from the privy, or you have touched women, and you can find no water, then have recourse to wholesome dust and wipe your faces and your hands with it.
na mkiwa na janaba basi ogeni. na mkiwa wagonjwa au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni au mmewagusa wanawake, na hamkupata maji, basi tayamamuni vumbi lilio safi, na mpake nyuso zenu na mikono yenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
o believers, draw not near to prayer when you are drunken until you know what you are saying, or defiled -- unless you are traversing a way -- until you have washed yourselves; but if you are sick, or on a journey, or if any of you comes from the privy, or you have touched women, and you can find no water, then have recourse to wholesome dust and wipe your faces and your hands; god is all-pardoning, all-forgiving.
msikaribie sala, hali mmelewa, mpaka myajue mnayo yasema, wala hali mna janaba - isipo kuwa mmo safarini - mpaka mkoge. na mkiwa wagonjwa, au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni, au mmewagusa wanawake - na msipate maji, basi ukusudieni mchanga safi, mpake nyuso zenu na mikono yenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.