Results for overseas translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

furthermore, displaced family members overseas may not know how to use these facilities.

Swahili

zaidi ya hivyo, wanafamilia waliopoteza makazi walioko ng’ambo wanaweza kuwa hawajui kutumia vifaa hivi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in recent years, it has become the biggest pride parade in asia and attracted many overseas attendees.

Swahili

katika miaka hii ya karibuni, matembezi haya yamekuwa makubwa kabisa katika bara la asia na yamevutia hisia za wahudhuriaji wengi kutoka nje ya nchi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

one participant observed that the majority of their family members overseas needed to access communication technology through others.

Swahili

mshiriki mmoja alibainisha kuwa wengi wa wanafamilia walio ng’ambo inawabidi kupata teknolojia za mawasiliano kwa kupitia watu wengine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the murder of an indian man in melbourne has reignited the debate about racism in australia and the safety of overseas students.

Swahili

mauaji ya mtu mwenye asili ya india mjini melbourne yamewasha tena mjadala kuhusu ubaguzi wa rangi nchini australia na usalama wa wanafunzi kutoka ng’ambo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if he thinks any overseas visitors will come here to pump this country full of money when it seems as if unrest is at the order of the day here, he is in stall for a very rude awakening.

Swahili

kama anafikiri kuwa wageni kutoka ng’ambo watakuja hapa na kuijanza nchi hii wakati inaonekana kana kwamba machafuko ndio jambo la kawaida hapa, basi yumo njiani kuamshwa kwa jambo baya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it questioned the commission's legal authority to ask for blogger information as well as questioned if it has jurisdiction over amarblog which is registered in united kingdom and hosted on an overseas server.

Swahili

tamko liliitaka kufahamu mamlaka halali ya tume hiyo ya kuhitaji taarifa za wanablogu na pia kutaka kufahamu kama ina mamlaka ya juu ya jukwaa la amarblog ambalo limesajiliwa nchini uingereza na pia kumilikiwa na mfumo wa komputa wa nchi mbalimbali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

on monday 8th march, all 16 overseas workers, including 10 parents, and 13 natural-born dependents, were told they were to be evicted from the site and country.

Swahili

siku ya jumatatu tarehe 8 machi, wafanyakazi wote 16 kutoka nje ya nchi, wakiwemo wazazi 10, na watoto 13 waliozaliwa nchini humo, waliambiwa kuwa wataondolewa kutoka katika eneo na nchi hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

yet another overseas chinese scientist has snatched the prestigious prize, this temporary moment of shared glory is quickly turned into a more profound question: when would china produce its first indigenous nobel prize winner?

Swahili

hiyo ni mara nyingine tena kwamba mwanasayansi wa kichina anayeishi ng'ambo amejishindia tuzo hiyo yenye kuheshimiwa sana duniani, hata hivyo, furaha hiyo ya muda inaamsha swali la msingi kwamba: ni lini hasa uchina itajipatia mshindi wake wa kwanza anayeishi nchini humo wa tuzo hiyo ya nobel?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is commendable that the white house is pledging up to $7 billion in additional funding from two of its overseas-focussed agencies – exim and opic – for this cause.

Swahili

ni jambo la kupongezwa kwamba ikulu ya marekani inaahidi mpaka dola za marekani bilioni 7 kama msaada wa nyongeza kutoka kwenye mashirika yake yenye mrengo wa kusaidia nchi za nje -exim na opic - kwa sababu hii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

after weeks of largely peaceful protests in the french overseas departments of guadeloupe and martinique, things took a violent turn on monday, as police and demonstrators clashed in guadeloupe's largest city, pointe-à-pitre.

Swahili

baada ya wiki za maandamano ya amani katika idara za ng'ambo za ufaransa za guadeloupe na martinique, mambo yaligeuka na kuwa ghasia siku ya jumatatu, polisi na waandamanaji walipambana katika jiji kubwa la guadeloupe, pointe-a-pitre.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,899,332,369 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK