Results for progress translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

progress

Swahili

najitambua

Last Update: 2020-10-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

to prepare progress report

Swahili

rekodi ya maendeleo

Last Update: 2024-04-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

provides visual indication of progress

Swahili

stock label

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

Reference: Anonymous

English

you will progress from stage to stage.

Swahili

lazima mtapanda t'abaka kwa t'abaka!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

so far, do i make progress in your language

Swahili

hadi sasa, ninafanya maendeleo katika lugha yako

Last Update: 2020-11-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

whoever of you desires to progress or lag behind.

Swahili

kwa anaye taka miongoni mwenu kutangulia au kuchelewa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

there is no progress, but the media keep blabbing.

Swahili

hakuna maendeleo, lakini vyombo vya habari vinaendelea kupiga porojo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

african leaders are stifling the progress of their own nations.

Swahili

viongozi wa afrika wanakuwa kikwazo cha maendeleo ya nchi zao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

media freedom still murky in myanmar despite progress · global voices

Swahili

uhuru wa vyombo vya habari nchini myanmar bado ni giza

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

rally for democracy and progress (rdp) is swapo's main challenger.

Swahili

chama cha upinzani (rdp) ni mpinzani mkubwa wa chama cha swapo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

this review attempts to summarize the research progress in the new and swiftly developing subject area.

Swahili

ukaguzi huu unajaribu kutoa muhtasari wa maendeleo ya utafiti katika eneo mada mpya inayokua kwa haraka.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but how can egyptians hold morsi accountable for his promises and watch the progress in achieving them?

Swahili

lakini, watu wa misri watawezaje kumbana morsi awajibike katika kutimiza ahadi zake na kufuatilia mienendo ya namna ahadi zitakavyotimizwa?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in some, the disease may progress to pneumonia, multi-organ failure, and death.

Swahili

katika visa vingine, ugonjwa unaweza kuendelea kuwa nimonia, viungo anuwai kutofanya kazi na kifo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

although no vaccine has completed clinical trials, there are multiple attempts in progress to develop such a vaccine.

Swahili

ingawa hakuna chajo iliyokamilisha majaribio ya kliniki, kuna majaribio kadhaa yanayoendelea ya kuunda chanjo hiyo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

accept the offerings they make from their wealth in order to cleanse and purify them for progress, and invoke blessings upon them.

Swahili

chukua sadaka katika mali zao, uwasafishe na uwatakase kwazo, na uwaombee rehema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

despite such frequent unpleasant events, pakistan has made almost no progress in reforming its deeply flawed and discriminatory law involving blasphemy.

Swahili

pamoja na matukio hayo ya mara kwa mara yasiyopendeza, pakistani haipiga hatua zozote katika kuipitia upya sheria hiyo kandamizi ya kukashifu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

civil society groups supported the communities in their negotiations with park officials through a project called lhuvuka, but there appeared to be no progress with procana.

Swahili

vikundi vya jamii za kiraia viliziunga mkono jamii katika majadiliano yao na maofisa wa mbuga kwa kupitia mradi unaoitwa lhuvuka, lakini inaonekana kuwa hapakutokea maendeleo yoyote kati yao na procana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the guide is a work-in-progress, so we are looking for help to create it and/or to give feedback.

Swahili

muongozo huo bado ni kazi inayooendelea, kwa hiyo tunatafuta msaada kutengeneza na kutoa matokeo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

both tzelect and uchaguzi tanzania are focussed on the immediete elections being held in tanzania on october 31st of this year, as well as the long-term progress of elected candidates in office.

Swahili

majukwaa yote mawili, tzelect na uchaguzi tanzania, yamelenga uchaguzi huu unaofanyika jumapili hii ya tarehe 31 oktoba 2010, na vilevile mchakato wa muda mrefu zaidi wa viongozi walio madarakani kwa njia ya kuchaguliwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

"authorities in saudi arabia routinely flout international standards for fair trial and safeguards for defendants, who are often denied representation by lawyers and not informed of the progress of legal proceedings against them.

Swahili

"mamlaka za saudi arabia mara kwa mara zimekiuka viwango vya kimataifa vinavyoongoza mashitaka ya haki na kuhakikisha usalama wa watuhumiwa, ambao mara nyingi wananyimwa haki ya kuwakilishwa na wanasheria wala haki ya kujulishwa mwenendo wa mashitaka yanayowakabili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,799,051,266 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK