Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
land rates
land rates payment waiver
Last Update: 2021-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
one study has found decreased infection rates with their use.
utafiti mmoja umepata kupungua kwa viwango vya maambukizi kutokana na matumizi yake.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
first of all, their relatively high mutation rates in rna replication.
kwanza kabisa, viwango vyao vya juu vya kubadilika katika uzalishaji wa rna.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
cities that implemented such interventions earlier had greater delays in reaching peak mortality rates.
miji ambazo zimetekeleza mikakati kama haya mapema zilikuwa na kuchelewa sana kufikia viwango vya kilele cha mlipuko wa vifo.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
this policy aims to reduce contact rates in the population and thereby reduce transmission of the virus.
sera hii inalenga kupunguza viwango vya mgusano miongoni mwa watu na hivyo kupunguza usambazaji wa virusi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nevertheless, mutation rates of covs are about a million times higher than those of their hosts.
licha ya hayo, viwango vya kubadilika kwa cov ni takriban mara milioni zaidi ya vile vya wabebaji wake.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in its daily publication, newspaper le progrès dared to publish a comparison of crime rates in the rhône by nationality
katika machapisho yake ya kila siku, gazeti la le progres ilithubutu kuchapisha ulinganisho wa viwango vya uhalifu katika mataifa mbalimbali
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
additionally, in some cases, the reopening of schools after a period of closure has resulted in increased infection rates.
kwa kuongezea, katika visa vingine, kufunguliwa kwa shule baada ya muda wa kufungwa imesababisha kuongezeka kwa viwango vya maambukizi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
from panama to southern mexico, laborers are coming down with kidney failure at rates unseen virtually anywhere else in the world.
kutoka panama hadi kusini mwa mexico, wafanyakazi wamashikwa na na maradhi ya kushindwa kwa figo katika viwango vya ghaibu amabavyo havijaonekana mahali popote duniani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
it seems counter intuitive that scandinavian countries, which have higher rates of gender equality should also have higher rates of violence against women.
inaonekana wazi kwamba nchi za scandinavia, ambazo zina viwango vya juu vya usawa wa kijinsia, ndizo zenye viwango vya juu dhidi ya unyanyasaji wa wanawake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mandatory school closures and other social distancing measures were associated with a 29% to 37% reduction in influenza transmission rates.
kufungwa kwa shule kwa lazima na hatua zingine za kutotangamana kwa watu zilihusishwa na upungufu wa 29% hadi 37% katika viwango vya uambukizaji wa homa ya mafua.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
according to oecd figures , japan has one of the highest poverty rates in the developed world and is 4th after only mexico, turkey and the u.s.
kwa mujibu wa takwimu za oecd, japan ina kiwango kikubwa zaidi cha umasikini katika dunia iliyoendelea na ni ya 4 baada tu ya mexico, uturuki na marekani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
second period of the government of alberto fujimori; it was implemented the national program on reproductive health and family planning policy aimed at reducing the overall fertility rates.
kipindi cha pili cha serikali ya alberto fujimori; sera ya taifa ya afya ya uzazi na uzazi wa mpango ilitekelezwa sera hiyo ilikusudia kupunga kasi ya uzazi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
because of small sample size and missing data on underlying health conditions among covid-19 patients who died, case-fatality rates for persons with and without underlying conditions were not estimated.
kwa sababu ya kiwango kidogo cha sampuli na kutokuwepo kwa data kuhusu hali sugu za afya miongoni mwa wagonjwa wa covid-19 waliofariki, viwango vya vifo vya kila kisa kwa watu walio na, na wasio na hali sugu za afya havikukadiriwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i'm your automated procurement assistant. i'll recommend suppliers for 126 products you've browsed recently that have a good response rate
i'm your automated procurement assistant. i'll recommend suppliers for 126 products you've browsed recently that have a good response rate
Last Update: 2021-02-09
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference: