Results for richard translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

richard

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

richard morse is tweeting from port au prince

Swahili

richard morse anaandika jumbe za twita kutokea port au prince

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

richard grabman explained the situation in his blog the mex files:

Swahili

richard grabman alieleza hali ilivyo katika blogu yake the mex files:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

mwalimu nyerere with former west german president richard von weizsäcker in 1985.

Swahili

mwalimu nyerere akiwa na rais wa zamani wa ujerumani magharibi richard von weizsäcker mwaka 1985.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

another blogger, richard hall, describes the daily star's website:

Swahili

mwanablogu mwingine, richard hall, anaielezea tovuti ya the daily star:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

richard barrow @michael_sp34 i did not feel threatened at any time today.

Swahili

richard barrow @michael_sp34 sikuhisi hofu wakati wowote leo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(source: b'tselem) — richard hall (@_richardhall) july 17, 2014

Swahili

773 walikuwa wananchi wasio wanajeshi, wakiwemo watoto 320 na wanawake 109 (chanzo: b'tselem)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

one of the most dedicated users of twitter is hotelier richard morse, whose coverage of the situation has been stellar.

Swahili

mmoja wa watu wanaotumia sana twita ni mfanyakazi wa hoteli, richard morse, ambaye taarifa zake za tukio zima zimekuwa makini sana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in cameroon, richard ewelle's post in kamer blog concludes on culture and entrepreneurship in africa:

Swahili

nchini cameroon, posti ya richard ewelle katika blogu ya kamer inahitimisha kuhusu utamaduni na ujasiriamali barani afrika:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

on fuel crisis, journalist richard chirombo tried to put the situation into historical perspective by pointing out that malawi cargo was stuck in mozambique due to a decline in the use of the beira port.

Swahili

kuhusu tatizo la mafuta, mwanahabari richard chirombo alijaribu kuliweka tatizo katika muktadha wa kihistoria na kuonyesha kuwa shehena ya malawi ilikwama huko msumbiji kutokana na kupungua kwa matumizi ya bandari ya beira.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

interaksyon reported that the chinese government donated 200,000 masks to the philippines on 6 february, after senator richard gordon shipped 3.16 million masks to wuhan.

Swahili

interaksyon iliripoti kuwa serikali ya uchina ilitoa msaada wa barakoa 200,000 kuelekea ufilipino mnamo 6 februari, baada ya seneta richard gordon alisafirisha barakoa milioni 3.16 hadi wuhan.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is through his involvement with his organization, the peace parks foundation, along with sir richard branson, mike humphries, and virgin unite that this dream will become a reality.

Swahili

ni kupitia ushiriki wake katika asasi yake ya the peace parks foundation (taasisi ya mbuga za wanyama za amani), pamja na ile ya sir richard branson, mike humphries, na virgin unite kwamba ndoto hiyo itatimia na kuwa kweli.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

among the mass of retweets of mainstream media reports and tweets sending prayers and good wishes to the caribbean island nation, have been eyewitness reports from musician and hotelier richard morse, who tweets as @ramhaiti.

Swahili

miongoni mwa lundo la jumbe zinazotumwa tena na tena za taarifa za habari kutoka za vyombo vya habari vikubwa na jumbe nyingine za twita zinazotuma sala au dua pamoja na salamu za heri kwa taifa hili la karibea, pia kumekuwepo taarifa za mashahidi waliopo kwenye tukio kama vile mwanamuziki na mwendesha hoteli richard morse, ambaye anatwiti kwa jina la @ramhaiti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as if bolt's masterful domination of the "fastest men in the world" field weren't enough, trinidadian richard thompson, who made an impressive showing earlier this year at the ncaa championships, winning gold in both the 100m and 60m (indoor) events, pulled off an upset and came in second.

Swahili

kana kwamba utawala wa kimahiri wa bolt kwenye medani ya "binadamu mwenye mbio kuliko wote" haukutosha, mtrinidadi richard thompson ambayeye alionyesha mvuto mwanzoni mwa mwaka katika mashindano ya ncaa, aliposhinda dhahabu kwenye mita 100 na mita 60 (kwenye viwanja vya ndani) alichukua ushindi wa kushangaza kwa kuchukua nafasi ya pili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,793,804,683 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK