Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
rights and responsibilities go hand in hand.
haki na wajibu ni mambo yanayotegemeana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
information about asbh dr. sorry and responsibilities, my name is fredrick msalilwa student of second year masters (economics)
habari za asubuhi dokta pole na majukumu, kwa majina naitwa fredrick msalilwa mwanafunz masters mwak wa pili (economics) nlikuwa naomb kumbusha tayar nimeshatuma kaz kweny email
Last Update: 2022-02-01
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
why should anyone complain about substandard ministers and government officials when you professionals are not available to be considered for those same roles and positions?
kwa nini kila mtu alalamikie kiwango hafifu cha utendaji wa mawaziri na maafisa wa serikali wakati nyie wataalamu hampatikani mfikiriwe kwa nafasi na majukumu hayo hayo?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
specifically, the guinean government's role and presence of the angolan military "missang" deployed to guinea-bissau for military reformation .
hususan, kuhusika kwa serikali ya guinea na uwepo wa majeshi ya angola yaliyoingizwa guinea-bissau kwa ajili ya mafunzo maalumu .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
though this is not the first time that chinese netizens have compared the circumstances of china and the u.s., the concept of “citizenship” has stirred yet another round of discussion about the rights and responsibilities of the chinese people, as well as criticism of the government.
pamoja na kuwa, hii si mara ya kwanza kwa watumiaji wa mtandao nchini china kulinganisha hali ya mambo kati ya china na marekani, wazo la “uraia” kwa mara nyingine tena limeibua mijadala sehemu mbalimbali kuhusiana na haki na wajibu wa watu wa china pamoja na hali ya kuikosoa serikali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: