Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the students are studying in the us as part of jusoor initiative to help syrians continue their higher education outside syria through scholarships.
wanafunzi hawa wanasoma nchini marekani kama sehemu ya mradi wa jusoor kuwasaidia wananchi wa syria kuendelea na elimu yao ya juu nje ya syria kupitia ufadhili.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
although bahrain has a number of universities, both government and private, many bahrainis have the opportunity to go abroad to pursue undergraduate and postgraduate studies, often by means of scholarships.
ingawa bahrain ina idadi kadhaa ya vyuo vikuu, vya umma na binafsi, raia wengi wa nchi hiyo hupata fursa ya kwenda ng'ambo kwa masomo ya shahada ya kwanza na hata zile za juu, mara nyingi kwa kutegemea ufadhili.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
letters of recommendation from high school to scholarship
barua za mapendekezo kutoka shule ya sekondari kwenda kwenye elimu
Last Update: 2017-10-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: