Results for scorn translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

scorn

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

is it this statement that ye scorn,

Swahili

ni maneno haya ndiyo nyinyi mnayapuuza?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in scorn thereof. nightly did ye rave together.

Swahili

na huku mkitakabari na usiku mkiizungumza (qur'ani) kwa dharau.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

no wonder you are surprised as they laugh with scorn.

Swahili

bali unastaajabu, na wao wanafanya maskhara.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they laughed him to scorn, knowing that she was dead.

Swahili

nao wakamcheka kwa sababu walijua kwamba alikuwa amekufa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

lo! those who scorn my service, they will enter hell, disgraced.

Swahili

kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu mimi wataingia jahannamu wadhalilike.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the messiah will never scorn to be a slave unto allah, nor will the favoured angels.

Swahili

masihi hataona uvunjifu kuwa mtumwa wa mwenyezi mungu, wala malaika walio karibishwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but those who deny and scorn our revelations shall be the inmates of hell, where they shall remain forever.

Swahili

na wale watakao kanusha ishara zetu na wakazifanyia kiburi, hao ni watu wa motoni; humo watadumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but they who deny our revelations and scorn them - each are rightful owners of the fire; they will abide therein.

Swahili

na wale watakao kanusha ishara zetu na wakazifanyia kiburi, hao ni watu wa motoni; humo watadumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

turn not thy cheek away from men in scorn, and walk not in the earth exultantly; god loves not any man proud and boastful.

Swahili

wala usiwabeuwe watu, wala usitembee katika nchi kwa maringo. hakika mwenyezi mungu hampendi kila anaye jivuna na kujifakhirisha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

do not turn your cheek in scorn away from people, nor walk proudly on the earth; allah does not love the proud and the boastful.

Swahili

wala usiwabeuwe watu, wala usitembee katika nchi kwa maringo. hakika mwenyezi mungu hampendi kila anaye jivuna na kujifakhirisha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

was it that we (only) took them in scorn, or have our eyes (now) turned aside from them?

Swahili

tulikosea tulipo wafanyia maskhara, au macho yetu tu hayawaoni?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

lest a soul should say: o woe to me! for what i fell short of my duty to allah, and most surely i was of those who laughed to scorn;

Swahili

isije ikasema nafsi: ee majuto yangu kwa yale niliyo poteza upande wa mwenyezi mungu, na hakika nilikuwa miongoni mwa wanao fanya maskhara!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

lo! they who deny our revelations and scorn them, for them the gates of heaven will nor be opened not will they enter the garden until the camel goeth through the needle's eye.

Swahili

hakika wale wanao zikanusha ishara zetu na wakazifanyia kiburi hawatafunguliwa milango ya mbingu, wala hawataingia peponi mpaka apite ngamia katika tundu ya sindano.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

nor say i unto those whom your eyes scorn that allah will not give them good - allah knoweth best what is in their hearts - lo! then indeed i should be of the wrong-doers.

Swahili

wala siwasemi wale ambao yanawadharau macho yenu kuwa mwenyezi mungu hatawapa kheri - mwenyezi mungu anajua yaliomo katika nafsi zao - hapo bila ya shaka ninge kuwa miongoni mwa wenye kudhulumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,749,164,328 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK