Results for tabloid translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

tabloid

Swahili

paper size

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

English

and on tuesday feb 17th, she learned of it in her favorite tabloid.

Swahili

naye bibie alijipatia taarifa rasmi za zawadi hiyo kupitia gazeti alipendalo sana mnamo tarehe 17 mwezi februari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the video was acquired by the tabloid lifenews, and has since spread widely on the runet.

Swahili

video hiyo ilipatikana kwa juhudi za gazeti la lifenews, na tangu wakati huo imekuwa ikisambaa mno kwenye mitandao ya kijamii nchini urusi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

besides stuffing the tabloids and all the tabloid journalists, there are no other facts that putin met with kabaeva.

Swahili

ukiacha habari uchwara za magazeti, na waandishi wote wa magazeti, hakuna uthibitisho mwingine kwamba putin amewahi kukutana na kabaeva.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

- second, because everyone could follow what was going on inside the auditorium maximum (the webcast produced half a million views within one month) it kept the tabloid press from labeling the protesters as rioters or extremists.

Swahili

-pili, kwa sababu kila mmoja aliweza kufuatilia kilichokuwa kinaendelea ndani ya ukumbi wa kukutania (matangazo ya mtandaoni yalipata watazamaji nusu milioni ndani ya mwezi mmoja) ilisababisha vyombo vya habari kushindwa kuwapachika jina waandamanaji kama wafanya ghasia au watu wenye msimamo mkali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,761,891,799 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK