Results for tahrir translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

tahrir

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

al jazeera cameras are in tahrir live now.

Swahili

kamera za al jazeera ziko tahrir sasa hivi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

mauritanians protest tahrir square assaults · global voices

Swahili

wa-mauritania wapinga udhalilishaji wa viwanja vya tahrir square

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

reporting from tahrir square, the epicentre of the egyptian revolution in downtown cairo, reports:

Swahili

akitaarifu kutokea uwanja wa tahrir square, ambapo ndipo palipo na kiini cha mapinduzi ya misri katika mji wa kibiashara wa cairo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

tahrir diaries posted this video on youtube to make the 100th day anniversary of abd el fattah's arrest.

Swahili

blogu ya kumbukumbu za tahrir diaries iliweka video hii kwenye mtandao wa youtube kuadhimisha siku 100 ya kukamatwa kwa abd el fattah.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@aymanm: thousands of pro-morsi protestors moving across october 6 bridge towards tahrir.

Swahili

@aymanm: maelfu ya wafuasi wa morsi waliandamana wakipita daraja la octoba 6 wakielekea tahrir.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@tabulagaza: military/ old regime + brotherhood r to blame for the sick gun battles near tahrir.

Swahili

@tabulagaza: jeshi/itawala wa zamani pamoja la muslim brotherhood wanastahili kubeba lawama kwa mapigano haya mabaya ya kutumia bunduki yanayoendelea karibu na tahrir.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

night after night, women and men have defied the government imposed curfew in cairo, gathering in tahrir square, aka liberation square.

Swahili

usiku baada ya usiku, wanawake na wanaume wameidharau amri ya kutotembea jijini cairo, na kukusanyika katika viwanja vya tahrir, au viwanja vya ukombozi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

up to a million people are already chanting in tahrir (liberation) square, cairo, calling on mubarak to leave.

Swahili

kadri ya watu milioni tayari wapo kwenye viwanja vya (ukombozi) vya tahrir jijini cairo wakiimba, na kumtaka mubarak aondoke.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a march demanding an end to sexual harassment turned ugly when women involved were attacked by a mob of angry men in tahrir square today (june 8, 2012).

Swahili

maandamano yaliyokusudia kudai kusitishwa kwa vitendo vya kubughudhiwa yaligeuka kuwa shubiri baada ya wanawake waliokuwa wanahusika nayo kushambuliwa na kikundi cha wanaume wenye hasira katika viwanja vya tahrir leo (june 8, 2012).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

maspero is the egyptian state television and radio building in midtown cairo, and is a few metres away from tahrir square, where anti-morsi protestors are continuing to celebrate morsi's ouster.

Swahili

maspero ni jengo la televisheni na redio ya taifa ya misri lililoko katikati ya cairo, na liko mita kadhaa kutoka viwanja vya tahrir, amahali ambapo waandamanaji wanaompinga morsi wanaendelea na sherehe za kuondoka kwa morsi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

on tuesday february 12, 2013, a group of mauritanian activists staged a protest in front of the egyptian embassy in nouakchott, the mauritanian capital, against sexual harassment and rape which egyptian women are being subject to in cairo's tahrir square.

Swahili

siku ya jumanne februari 12, 2013, kikundi cha wanaharakati wa ki-mauritania kiliandaa maandamano mbele ya ubalozi wa misri jijini nouakchott, mji mkuu wa mauritania, kupinga udhalilishaji wa kijinsia na ubakaji ambao wanawake wa ki-misri wamekuwa wakikumbana nao kwenye viwanja vya tahrir jijini cairo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,774,224,705 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK