Results for to commit translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

before this they were wont to commit evil deeds.

Swahili

na kabla ya haya walikuwa wakitenda maovu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

let not your desires cause you to commit injustice.

Swahili

basi msifuate matamanio, mkaacha kufanya uadilifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this is for him among you who feareth to commit sin.

Swahili

hayo ni kwa yule miongoni mwenu anaye ogopa kuingia katika zina.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in fact man wishes to commit evil in front of him!

Swahili

lakini mtu anataka tu kuendelea na maasi kwa siku zilioko mbele yake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

satan threatens you with poverty and commands you to commit sin.

Swahili

shet'ani anakutieni khofu ya ufakiri na anakuamrisheni mambo machafu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

that, because they would disobey and they used to commit transgression.

Swahili

hayo ni kwa sababu waliasi na wakawa wanapindukia mipaka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they used not to prevent one another from the wrongs they used to commit.

Swahili

walikuwa hawakatazani maovu waliyo kuwa wakiyafanya.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

satan promises you with poverty and orders you to commit what is indecent.

Swahili

shet'ani anakutieni khofu ya ufakiri na anakuamrisheni mambo machafu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(muhammad) tell them that god does not command anyone to commit indecency.

Swahili

sema: hakika mwenyezi mungu haamrishi mambo machafu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

satan frightens you of poverty and prompts you to [commit] indecent acts.

Swahili

shet'ani anakutieni khofu ya ufakiri na anakuamrisheni mambo machafu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but when he has delivered them, they begin, wrongfully to commit excesses in the land.

Swahili

lakini akisha waokoa, mara wanafanya jeuri tena katika nchi bila ya haki.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so we sent against them a plague from the sky because of the wrongs they used to commit.

Swahili

basi tukawapelekea adhabu kutoka mbinguni kwa vile walivyo kuwa wakidhulumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he orders you to commit evil and indecency and to assert about allah what you do not know.

Swahili

yeye anakuamrisheni maovu na machafu, na mumsingizie mwenyezi mungu mambo msiyo yajua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they indeed sought to shame his guest (by asking to commit sodomy with them).

Swahili

na walimtaka awape wageni wake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so we sent down on those who were wrongdoers a plague from the sky because of the transgressions they used to commit.

Swahili

kwa hivyo tukaiteremsha juu ya wale walio dhulumu adhabu kutoka mbinguni kwa sababu ya walivyo kuwa wamepotoka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but as for those who deny our signs, the punishment shall befall them because of the transgressions they used to commit.

Swahili

na walio kanusha ishara zetu itawagusa adhabu kwa walivyo kuwa wakipotoka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(o prophet), do not stir your tongue hastily (to commit the revelation to memory).

Swahili

usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

believers, do not follow the footsteps of satan; whoever does so will be made by satan to commit indecency and sin.

Swahili

msizifuate nyayo za shet'ani. na atakaye fuata nyayo za shet'ani basi yeye huamrisha machafu na maovu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he enjoins you to commit vice and indecency and induces you to attribute to allah's name things you do not know to be from him.

Swahili

yeye anakuamrisheni maovu na machafu, na mumsingizie mwenyezi mungu mambo msiyo yajua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and indeed again and again did our messengers come to them with clear directives; yet many of them continued to commit excesses on earth.

Swahili

na hakika waliwajia mitume wetu na hoja zilizo wazi. kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,873,652,592 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK