From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the details of this very profitable traffic have been made public and shared by many citizen bloggers and scientific publications.
maelezo ya kina ya biashara hii yenye faida yametolewa kwa ajili ya umma na yamepokewa na kushirikishwa na wanablogu wengi na majarida ya kisayansi.
across tanzania's commercial capital, dar es salaam, both traffic and new construction are burgeoning.
katika maeneo mbalimbali ya jiji la kibiashara la tanzania, dar es salaam, kumekuwa na ongezeko la haraka la magari pamoja na majengo mapya.
as a result of this confrontation, one person was killed various people were injured and traffic was blocked in many parts of nouakchott.
matokeo ya mapambano hayo, mtu mmoja aliuawa na watu mbalimbali walijeruhiwa na barabara zilifungwa katika maeneo mengi ya nouakchott.
as a jakartan who used to stuck in traffic, i tend to be panicky if the streets are quiet and deserted look-alike.
kama mkazi wa jakarta niliyozoea kukwama kwenye foleni za magari, huwa nafadhaika kama barabara zikiwa tulivu na zenye watu pungufu.
flight mh370 from kuala lumpur to beijing lost contact with air traffic controllers, with the airline and authorities being unable to locate the aircraft since.
ndege hiyo mh370 ilikuwa ikitokea kuala lumpur kwenda beijing ilipoteza mawasiliano na waongoza ndege, ambapo shirika la ndege pamoja na mamlaka zinazohusika zikishindwa kufahamu kwa hakika iliko ndege hiyo.
on the day of the prime minister's visit, muhammad siddique, a car owner stuck in a traffic jam said important meetings and vip movements should be restricted to the high security military cantonment of the city.
siku hiyo ya ziara ya waziri mkuu, muhammad siddique, mmliki wa gari lililokuwa kwenye foleni alisema mikutano muhimu na safari za watu maarufu zibaki kuwa kwenye maeneo ya kijeshi la jiji hilo.
aban idrees witnessed a protest in hebron and tweeted : in hebron the traffic is in absolute paralysis after the protests against the high cost of living demanding the government of fayyad to resign.
aban idrees alishuhudia maandamano jijini hebron na alitwiti: jijini hebron, magari yamezuiwa kuendelea na safari kabisa baada ya maandamano ya kupinga mfumuko wa bei za bidhaa wakishinikiza serekali ya fayyad kujiuzulu.