From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tranquility
utulivu
Last Update: 2024-10-04
Usage Frequency: 1
Quality:
in gardens of tranquility;
katika bustani zenye neema.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
close to which is the garden of tranquility,
karibu yake ndiyo ipo bustani inayo kaliwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
may gif give u peace and tranquility in this hard time
Last Update: 2023-09-30
Usage Frequency: 1
Quality:
does every one of them wish to enter the garden of tranquility?
kwani kila mmoja wao anatumai kuingizwa katika pepo ya neema?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
"enter in peace and tranquility," (they will be told).
(wataambiwa:) ingieni kwa salama na amani.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
it is he who sent down tranquility into the hearts of the believers, to add faith to their faith.
yeye ndiye aliye teremsha utulivu katika nyoyo za waumini ili wazidi imani juu ya imani yao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
then god sent down a sense of tranquility on his apostle and the faithful; and sent down troops invisible to punish the infidels.
kisha mwenyezi mungu akateremsha utulivu wake juu ya mtume wake na juu ya waumini. na akateremsha majeshi ambayo hamkuyaona, na akawaadhibu wale walio kufuru.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and of his signs is that he created for you mates from among yourselves, so that you may find tranquility in them; and he planted love and compassion between you.
na katika ishara zake ni kuwa amekuumbieni wake zenu kutokana na nafsi zenu ili mpate utulivu kwao. naye amejaalia mapenzi na huruma baina yenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and god made his tranquility descend upon him, and supported him with forces you did not see, and made the word of those who disbelieved the lowest, while the word of god is the highest.
mwenyezi mungu akamteremshia utulivu wake, na akamuunga mkono kwa majeshi msiyo yaona, na akalifanya neno la walio kufuru kuwa chini, na neno la mwenyezi mungu kuwa ndilo juu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
then, allah caused his tranquility (sechina) to descend upon his messenger and the believers; he sent legions you did not see and sternly punished the unbelievers.
kisha mwenyezi mungu akateremsha utulivu wake juu ya mtume wake na juu ya waumini. na akateremsha majeshi ambayo hamkuyaona, na akawaadhibu wale walio kufuru.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
all praise belongs to god who has given us the tranquility of islam's faith. may peace and blessings be upon the prophet muhammad, who led the people from darkness to light. every reasonable human being knows that this world was created for a specific purpose. in order to accomplish this purpose allah almighty sent various prophets as well as religions to guide the people. all these religions are basically one and have been called islam. islam is the greatest gift that god has bestowed upon man because
himidi zote zinamstahiki mwenyezi mungu aliyetupa utulivu wa imani ya uislamu. rehma na amani ziwe juu ya mtume muhammad r aliyewaongoza watu kutoka kwenye giza kwenda kwenye nuru. kila binadamu mwenye akili timamu anafahamu kuwa ulimwengu huu umeumbwa kwa lengo maalum. ili kutimiza lengo hili allah mtukufu aliwatuma mitume mbalimbali pamoja na dini ili kuwaongoza watu. dini zote hizi kimsingi ni moja na zimeitwa uislamu. uislamu ni zawadi kubwa ambao allah alimtunuku mwanadamu kwa sababu
Last Update: 2024-09-06
Usage Frequency: 1
Quality: