Results for unauthorized translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

unauthorized

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

côte d'ivoire: uproar over unauthorized press use of blogger's photos · global voices

Swahili

ivory coast: mjadala mkali dhidi ya chombo cha habari kilichotumia picha za mwanablogu bila ruhusa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

last june, he was sentenced to 15 years in absentia and given a 100,000 egyptian pound fine after being convicted of attacking a police officer and violating a 2013 protest law that prohibits unauthorized demonstrations.

Swahili

mwezi juni mwaka jana, alihukumiwa miaka 15 jela bila kuwepo mahakamani na aliamuriwa kulipa faini ya paundi 100,000 za misri baada ya kushitakiwa kwa kosa la kumshambulia ofisa wa polisi na kukiuka sheria ya kuandamana ya 2013 inayozuia maandamano yasiyoruhusiwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

according to mada masr, which quoted the state-owned ahram gate website, they are accused of: “organizing an unauthorized protest outside the shura council in cairo, attacking a police officer, stealing a walkie-talkie, hooliganism, aggression against police officers, blocking the road, crowding a public place and destruction of public property.”

Swahili

kwa mujibu wa tovuti ya mada masr, iliyonukuu kutoka kwenye tovuti inayomilikiwa na ahram gate, watuhumiwa hao wanadaiwa: “kuandaa maandamano haramu nje ya jengo la baraza la shura jijini cairo, kumshambulia afisa wa polisi, kuiba radio ya upepo, uhuni, ghadhabu dhidi ya maafisa wa polisi, kufunga barabara, kujaza watu kwenye maeneo ya umma na kuharibu mali ya umma."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,733,232,608 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK