From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
god does not hold you accountable for your unintended oaths, but he holds you accountable for your binding oaths.
mwenyezi mungu hatakushikeni kwa viapo vyenu vya upuuzi, lakini atakushikeni kwa mnavyo apa kweli kweli kwa makusudio.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
-a third of all pregnancies are unintended, and one third of these unintended pregnancies result in an abortion.
-theluthi ya mimba zote hazikutarajiwa, na theluthi ya mimba hizi husababisha utoaji wa mimba.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it should also be cautioned that artificial selection can contribute to unintended changes in viral genomes, most likely resulting from relieving viruses from selection pressures exerted, such as by the host immune system.
tahadhari pia inapaswa kukumbukwa kwamba uteuzi wa bandia unaweza kuchangia katika mabadiliko yasiyonuiwa katika jinomu za virusi, mara nyingi kutokana na kuondolea virusi mashinikizo ya uteuzi, kama vile mfumo wa kinga ya mwili wa mbebaji virusi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
social researchers at l’institut supérieur des sciences de la population (high institute of population science) in ouagadougou, burkina faso published a report entitled "grossesses non désirées et avortements au burkina : causes et conséquences" (the causes and consequences of unintended pregnancies and abortions in burkina faso).
watafiti wa masuala ya kijamii wa l’institut supérieur des sciences de la population (taasisi ya sayansi ya idadi ya watu) mjini ouagadougou, burkina faso ilichapisha ripoti yenye kichwa cha habari "grossesses non désirées et avortements au burkina : causes et conséquences" (sababu na matokeo ya mimba zisizotarajiwa na utoaji wa mimba nchini burkina faso).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting