Results for virtual translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

virtual

Swahili

virtual

Last Update: 2013-05-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

chic has been virtual president for 26yrs!!!

Swahili

huyu mwanamitindo amekuwa rais nyuma ya pazia kwa miaka 26!!!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

however, the virtual world in blogs is also not alien from this.

Swahili

hata hivyo, ulimwengu wa kublogu nao hauko mbali katika hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but each year iranian women both in the real and virtual world stil celebrate.

Swahili

lakini kila mwaka wanawake wa ki-iran iwe kwa uwazi ama kificho bado wanasherehekea siku yao hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

if you are a fan of vuvuzela, you can visit blow me website to blow the virtual vuvuzela.

Swahili

kama wewe ni shabiki wa mavuvuzela, unaweza kutembelea tovuti ya blow me na uipulize vuvuzela.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

@since__1986 thought janet museveni has been a virtual president all along:

Swahili

@since__1986 alifikiri janet museveni amekuwa rais wa nyuma ya pazia kwa muda wote wa urais wa mumewe:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as the only times our virtual community gets to meet face to face, our biennial summits are extremely important for the development of the organisation.

Swahili

ikiwa ndio wakati pekee wa jamii yetu hai kukutana ana kwa ana, mikutano yetu ifanyikayo kila baada ya miaka miwili ni ya muhimu sana kwa maendeleo ya jumuia yetu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

all the satellite pictures can be viewed on google earth's virtual globe, as their official blog reports:

Swahili

picha zote za setilaiti zinaweza kuangaliwa kwenye tufe yakini ya google earth, kama blogu yao rasmi inavyotaarifu:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

iranian netizens reacted to this "crime" that reminds us once more that bloggers can end up sacrificing their lives for their virtual activity.

Swahili

watumiaji wa mtandao wa iran wameonesha hisia zao kufuatia kosa hili la “jinai” linalotukumbusha kwa mara nyingine tena kuwa wanablogu wanaweza kuishia kutoa maisha yao sadaka kwa kazi zao zilizo na tija.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

other bloggers have responded to the shortage — or absence — of serious literary and cultural coverage in the caribbean press by turning their blogs into virtual magazines.

Swahili

wanablogu wengine wamejitokeza na kueleza upungufu au kutokuwepo kwa makala makini kuhusu usomaji na utamaduni katika vyombo vya habari vya kikaribea na hivyo kuzigeuza blogu zao ziwe magazeti ya kuperuzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a number of “members of parliament” in debating the “speech”, hailed the move to engage politicians in the virtual parliament.

Swahili

baadhi ya “wabunge” katika kuijadili “hotuba” hiyo, waliipongeza hatua ya kuwashirikisha wanasiasa katika bunge hilo la kufikirika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

required virtual size does not fit available size: requested=(%d, %d), minimum=(%d, %d), maximum=(%d, %d)

Swahili

mirrorpantallas en espejo", *not* "espejar pantallas

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,750,128,288 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK